GHOST RYDER
JF-Expert Member
- Jun 10, 2011
- 1,025
- 475
Wanaelezea yafuatayo:
1. Ugawaji sawa wa kuchumi: Hapa msoma risala analalamikia serikali kuwawezesha wakristo pekee yao kupitia MOU
2. ANASEMA UCHAGUZI ULIOPITA ULITAWALIWA NA UDINI, hivyo tuepuke udini
3. Anasema serikali imewarudishia wakristo baadhi ya shule ilizotaifisha (hazitaji) hivyo waislam warudishiwe zao (hazitaji)
4. Mahakama ya kadhi,.anataka serikali waongeze kasi kuanzisha mahakama hiyo
5. Muswada wa sheria ya ndoa usikinzane na maandiko ya kiislam
Mufti anazungumzia matendo mema baada ya mwezi wa ramadhani,..anaongelea sana wizi wa wake za watujk anajibu vizuri hoja zaokuhusu MOU anawaambia nao waombe sio kusema wenzao wanyimwe
Kwani wewe bado wafuatilia hotuba zake? Mie sikumbuki mara ya mwisho ilikuwa ni lini kuzisikiliza, hotuba zilikuwa za mzee Ben bwana ukiikosa kesho lazima utaikuta kwenye magazeti lakini ya huyu ustaadhi huyu wala hata sijihangaishi kupoteza mda wangu kusikiliza hotuba zakeHii ni dharau kwa WaTZ, hajaongea na Taifa kwa muda mrefu, leo anataka kuhutubia taifa kupitia kwenye baraza la Eid!! It must be more official than this, watu wakija kuhoji baadhi ya kauli utasikia 'Alikuwa anaongea na BAKWATA'
kama hatakuwa na kuongea bora akanyamaza maana zile kauli zake tata huwa zina madhara makubwa mfano ile ya chama kimepoteza dira hivyo lazima kijivue gamba..hilo gamba limemrudia nape kwani rostam anaoneakana ndio atakuwa msemaji iginga na Nape haruhusiwi kukanyaga igunga
sifurahii hata kidogo namna rais wetu anavyoiongoza nchi hii lakini pia nashidwa kuwaelewa wachangiaji flanii flani katika jukwaa hili ambao wanageuka kuwa watabiri na wasemaji wa rais. si haki kumtia maneno mdomoni kuwa rais atasema ....... katika sikukuu ya leo. tumpe nafasi aseme mwenyewe ili tuweze kujadili hotuba yake. tuache majuku na tutumie jukwaa hili kujenga na si kuleta fitna na umbea bila sababu. let us make jf a forum of great thinkers.
...........................Nachosubiria ni kauli kama hizi;
- Kumeanza kuonekana chokochoko za udini kwa Taifa letu....
- Naomba tuheshimu utawala wa katiba,wananchi wamekikubali CCM wamekipa dhamana ya kuongoza....na si vinginevyo...(Hapa atakuwa anaogopa jinamizi lililowakuta akina Gaddafi na wenzake)
- Lazima Gaddafi atajwe kwasababu ni rafiki yake mkubwa...
Yes, leo ni mwisho wa mwezi lakini leo sikukuu ya EID kwa waislam. Kwa rais kutumia hii siku kwa mambo yake ya kisiasa ni kuwakosea waislam wenzake heshma and very selfish of him. Angeweza kutuo hotuba jana, lakini sio ku-hijack sikukuu ya dini kwa kwa siasa zake. Kama kweli atafanya hivyo basi kuna kila dalili kwamba rais wetu anatumia dini (again) kujificha. He is playing the victim game. Na hawezi kujitetea kuwa anatoa monthly speech kwa sababu hajawa consistent kwenye hili. Imepita zaidi ya miezi 5 sasa tangu atoe speech kwa hiyo hawezi kuja na hoja ya monthly speech.
EID MUBARAK
Waislam nao wanabidi wawe waangalifu, maana wanaonekana kuruhusu dini yao kuwa contaminated na malumbano ya kidunia/siasa badala ya kujikita zaidi kwenye mafundisho ya dini. Let's wait and see kwanza kabla sija-comment zaidi.
Hata hivyo niwatakie Eid Mubarak waislam wote & I hope you have a blessed day.
Kinachozungumwa hapa c uislamu au Ukristo, JK 2005 alikuwa bado Muislamu Wakristo walimpa kura zaidi ya Waislamu sasa nani anleta udini, tukubaliane moja kuwa JK ameharibu kuharibu kwa JK c kuharibu kwa Uislamu,wale kufeli kwa JK c kufeli kwa Uislamu. Ila jk amekuwa akitumia Uislamu kama njia ya kujihami ili wale wakosoaji waseme ate anakosolewa kwasababu ya dini yake.Nimesoma maoni tofauti, lakini nimegundua UDINI na CHUKI binafsi kwa wachangiaji zinawasumbua sana. Mnatakiwa msijifikirie nyinyi (i.e WAKIRISTO) tu, pia waislamu wanahaki kama walivo wakiristo ndani ya nchi hii.
Wacheni ubinafsi wenu wana JF.
Wassalaam.
At 4pm nitamsikiliza kwa mara ya kwanza tangu miaka 3 iliyopita kama Ngeleja, Jairo hawatambelea mitaa yetu. then ntakuwa kwenye nafasi ya ku coment