GHOST RYDER
JF-Expert Member
- Jun 10, 2011
- 1,025
- 475
Maelezo Mengine Muhimu yaliyokuwepo katika Thread Hii nimeyahamishia katika Attached document ili kutoa urahisi kwa wanaotumia JF Mobile kubrowse kwa urahisi katika michango ya wanaJF
DONDOO MUHIMU - By
ADIOS
DONDOO MUHIMU - By
Wanaelezea yafuatayo:
1. Ugawaji sawa wa kuchumi: Hapa msoma risala analalamikia serikali kuwawezesha wakristo pekee yao kupitia MOU
2. ANASEMA UCHAGUZI ULIOPITA ULITAWALIWA NA UDINI, hivyo tuepuke udini
3. Anasema serikali imewarudishia wakristo baadhi ya shule ilizotaifisha (hazitaji) hivyo waislam warudishiwe zao (hazitaji)
4. Mahakama ya kadhi,.anataka serikali waongeze kasi kuanzisha mahakama hiyo
5. Muswada wa sheria ya ndoa usikinzane na maandiko ya kiislam
Mufti anazungumzia matendo mema baada ya mwezi wa ramadhani,..anaongelea sana wizi wa wake za watujk anajibu vizuri hoja zaokuhusu MOU anawaambia nao waombe sio kusema wenzao wanyimwe
ADIOS