Agosti 31 ya JK: Baraza la EID huko Dodoma kutumika kurusha makombora, usikose!

BAKWATA imesikitishwa sana na taarifa ya serikali ya kuwatuhumu kuhusika katika madawa ya kulevya na kuwa serikali iwe makini na iwataje wahusika bila kuficha na kuwachukulia hatua kama iwezekanavyo

Na kuwa BAKWATA imeitaka serikali kuwafichua viongozi wote wanaotumia mwavuli wa mashirika ya Dini kufanya biashara ya madawa ya kulevya
 
Wanamuomba Rais awataje wanaohusika na madawa ya kulevya.
 
Kuhusu Utoaji wa FURSA SAWA...jojiPoji sikiliza hapo na upost nahama angle
 
BAKWATA hairidhishwi na mgawanyo wa fursa kwa waumini wa Kikristo ikilinganishwa na fursa wanazozipata waislamu hivyuo kuwanyima fursa ya kuchangia vema maendeleo
 
MCHAKATO WA KATIBA

MPASUKO WA UDINI
BAKWATA inakiri bado serikali haijalipatia ufumbuzi tatizo la udini tokea kampeni za Uchaguzi uliopita na ni hatari kwa masilahi ya Taifa

MAHAKAMA YA KADHI

Kimsingi serikali imekubali kurejesha mahakama ya kadhi licha ya kuwa kuna dalili za kulegalega na waislamu wameanza kupata wasiwasi na ahadi hii ya serikali

Anahitimisha kwa kutahadharisha kuwa makini na itikadi za kidini kuwagawa watanzania
 
Kidogo napata mashaka hapa na nini kinachoendelea, hotuba hii inaweza kuibua malumbano makubwa ya kiimani
 
SHULE ZILIZOTAIFISHWA BAADA YA UHURU

Waislamu wanaomba shule zao zote zilizotaifishwa baada ya Uhuru zilijeshwe kwao waweze kuziendesha wenyewe kwa kuwa wana nia na uwezo wa kufanya hivyo kwa sasa


MSWAADA WA MAREKEBISHO YA SHERIA YA NDOA NA MIRATHI
Waislam hawategemei kama mswaada huo utapingana na maelekezo ya dini yao katika taratibu za mirathi na wanaomba washirikishwe katika hilo kwa kuwa nao wana taratibu za dini zinazotoa muongozo kuhusu suala zima la Mirathi na NDOA

BEI ZA VYAKULA
Anaipongeza serikali katika kushughulikia na kusimamia vema bei za vyakula wakati wa mwezi mtukufu wa ramadhani

anatoa mkono wa EID

KATIBU MKUU BAKWATA

Suleima LUWINGA
 
Imesemwa tena kwenye baraza la eid huko Dodoma. Hivi mi sijaona kokote hili, wale wenye experience hii jamani tupeane taarifa maana tusijekuwa twapinga tu kumbe kweli ipo...
 
Anamshukuru Mwenyeezi Mungu kwa kuwajaalia waislam kumaliza funga kwa salama
 
MCHAKATO WA KATIBA

MPASUKO WA UDINI
BAKWATA inakiri bado serikali haijalipatia ufumbuzi tatizo la udini tokea kampeni za Uchaguzi uliopita na ni hatari kwa masilahi ya Taifa

MAHAKAMA YA KADHI

Kimsingi serikali imekubali kurejesha mahakama ya kadhi licha ya kuwa kuna dalili za kulegalega na waislamu wameanza kupata wasiwasi na ahadi hii ya serikali

Anahitimisha kwa kutahadharisha kuwa makini na itikadi za kidini kuwagawa watanzania
kama wanataka mahakama ya kadhi ni jambo jema tu......ila waisimamie wenyewe BAKWATA hiyo mahakama. Serikali haina dini!
 
Wako live TBC1na wametangaza JK atalihutubia taifa kupitia baraza la eid, sijui atatwambia nini.

Tumsikilize, I guess ataendelea kulalamikia maandamano na failures za serikali yake kwa sababu ya wapinzani
Kama umeshatabiri atakachoongea sasa una haja gani ya kumsikiliza? Au wewe ndiye msemaji wake?
 
hotuba ya loe imepiga wenye mshono....kutaibuka mjadala mzito sana hapo baadae
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom