Prince Rodgers
Member
- Mar 5, 2017
- 22
- 31
Fisi,unajua kwanini walikuchukia?Kuna real estate ndiko kwenye upigaji rahisi sana wa mbumba.paschal nakuelewa ila kuna walakini. mimi taaluma yangu ni Real Estate Investment. tatizo la awamu iliyopita ushauri wa kitaalamu ulidharaulika sana. nakumbuka 2012 nilifanya presentation ya project appraisal ya shirika moja la mafao lililowekeza majengo kubwa ya biashara Moshi na arusha. payback period ya Moshi ilikuwa 89 years na Arusha moja 68 na jingine 62. nikareccomend waachane nazo. walinichukia wakakasirika na sikufanya nao kazi tena. repoti ya juzi ya CAG ameyataja majengo hayo kuwa non performing investments. wawekezaji wengi waliwekeza hivyo kiujanja ujanja. we must come to equilibrium.