Sophist
Platinum Member
- Mar 26, 2009
- 4,484
- 3,400
Your response is ironic. Ku-export bidhaa kutoka nchini kwenda ulaya (assuming siyo unga) hakutofauyiani na kubeba mihogo kutoka Mtwara au Kipatimu kuleta soko la Buguruni. It is all about trade; buying of goods from a place to another for selling so as to get profit, period. Kwa hiyo hao wabeba vitenge kutoka Guanzhou kuleta soko la hapa ndani philosophically, ni sawa na wewe. Nyote ni wale wale. You may read again my prior comment. Unashika dola za kimarekani kwa kuwa ndio medium of exchenge inayotumika katika biashara zako. So there is nothing queer. Wakati unaangaika na cargo zako kichwani, usisahau kuwa kuna wengine huwa tunabeba vichwa tu, bila cargo. Na hiyo ndio kazi ya heshima. We fly around the world just to sell what we know. Hayo mambo ya kubeba cargo siyo ya kuleta humu JF.Kwa taarifa yako Magufuli hana mipango yoyote ya kiuchumi , fanya utafiti , haya mambo yanatokea kwa bahati mbaya tu , s kwa sababu kuna mipango yoyote ile.
Halafu kuwa mwangalifu sana unapoweka maandiko hapa , kudhani unafahamu kuliko wengine ni dalili ya kichaa , mimi ni mfanyabiashara wa Kimataifa , hata hivi vidola kidogo mnavyoingiza humu nchini ni kwa ajili yetu , hakuna Tajiri Mbumbumbu , na hasa mfanyabiashara wa juu kabisa wa kimataifa kama mimi .
NB : mimi si mnunua vitenge China , na export bidhaa ulaya .