Raia Fulani
JF-Expert Member
- Mar 12, 2009
- 11,866
- 4,262
Kuna mdau hapa anajihusisha na huu mpango wa AGOA? Yani kusafirisha bidhaa kwenda USA.
Kama yupo naomba anijulishe kwani nahitaji maelezo kiasi niyafanyie kazi
Kama yupo naomba anijulishe kwani nahitaji maelezo kiasi niyafanyie kazi