Innocent Kirumbuyo
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 4,646
- 4,493
Wangalie vizuri daudi siyo wa sport sportvidune wapo busy kumsaka mke wa Daud Bashite ili wampachilke mimba baada ya Daud Bashite kuishi nae miaka 6 pasipo kupata mtoto wameapa kumsaidia kupata mtoto feki kama vyeti vyake.
Tuache kufuatilia maisha binafsi ya watu, hapa tujadili maendeleo ya nchi. Kila mtu ana ghost in the cupboardMange atupe za Ndani sasa Inawezekana amebeba ujumbe maalum
Hivi kuna mchaga ameshawahi kua rais au waziri mkuu kwenye kaya yetu...na Je swali chokonozi...wangeshika hizo nyadhifa ingekuwaje...Tafadhali watanzania hizi siasa za chuki na ubaguzi tusizipe nafasi katika nchi yetu...Tanzania ni yetu sote na hatuna pengine pa kwenda...tupendane, tuheshimiane,na tusibaguane..hakuna mwenye hatimiliki na kaya yetuMkome mbona walipokuwa wachaga mlikuwa hamsemi. Magufuli bhatolage bhenabha bhale Na kishimbe,
Ume note kitu cha msingi sana!Teuzi za yule mtu nna wasiwasi kama zinaangalia hata sifa...cjaona teuzi aliofanya so far ambayo imekuwa outstanding..ukiangalia uteuzi wa ukuu wa dar na ukuu wa arusha...unajua ni sifa zipi anazingatia zaidi...na huyu wa gairo nadhani amezingatia yale anayosema yule kikatuni cha IG kinachojiita mpigania democracy...
Nafikiri ni wa sengerema alikosoma/kufundisha mkulu. kokotoa.
Mbona kafanana na Janeth Magu?Ndiyo huyu ? AGNES MKANDYA.View attachment 370360 View attachment 370361
Pumba kabisa!Kiongozi makini uangalia idadi ya jamii yenye watu wengi hapo ndio ufanya uteuzi wake
Sasa ukiangalia wasukuma nchini Tanzania ni aslimia 65% ya watanzania wote ili mkuu aweze kurudi madarakani yambidi awemsukuma kweli kweli
Nenda na Nida ukaone katika record za sensa wasukuma ni 65% ya watanzania wotePumba kabisa!
Hivi unajua asilimia ina maana gani?
Ok ngoja tukusaidie, ni kwamba kila ukiona watu 100 Basi 65 ni wasukuma! Nchi ina makabila 126, mikoa 30+ hata kama ukiamua kuita kanda ya ziwa jua hawawezi kufika hata 1/3 ya watanzania wote.
Ngoja tutakuletea takwimu za wapiga kura 2015 uone vizuri
Tembelea ukurasa wa Mange Kimambi instagram uperuzi vizuuuuri alafu urudi kuuliza hili swali.Nia na madhumuni ya huu uzi ni nini haswa? Au ndo promo
Mimi sijasema mkuuMkuu Mzito Kabwela,kwa hiyo huyu ni Second Mistress!!? The famous mother of two?
sense mwaka 2012 as per national bureau of statistics (NIDA si sehemu sahihi....)Nenda na Nida ukaone katika record za sensa wasukuma ni 65% ya watanzania wote
Umetoa shule murua kabisa akirudi naomba unganisha post hii na yake na yangusense mwaka 2012 as per national bureau of statistics (NIDA si sehemu sahihi....)
Tabora 2,291,623 ; kigoma 2,127,930; shinyanga 1,534,808; kagera 2,458,023; Mwanza 2,772,509; Mara 1,743,830; Simiyu 1,584,157; Geita 1,739,530 jumla kuu ya mikoa yote hiyo 8 mnaojiita ndugu (sio wasukuma peke yao jumlisha na vikabila vingine vyote vya kanda ya ziwa hadi na wakimbizi walowezi) jumla kuu ni 16,252,410 sawa na asilimia 36% ya watanzania wote. huku takwimu za kiwango cha elimu mkishika literacy rate 9. Mara 80.7; 11. Mwanza 79.9; 16. kagera 76.8 na Kigoma 76.0....
takwimu nyingine kasome mwenyewe data zipo.
Acheni kujidanganya watu wakifanya ukabila hamtobaki salama..... kwanza idadi haitoshi na pili bado kuna "zero brain" wengi mno kwenye jamii yenu.
wengi mnachanganya issue ya ukubwa wa kabila la kisukuma na wingi wa idadi ya watu, nadhani kama tutaweka uwiano wa kabila 1moja moja by far mnawapita wengine, ila kama kabila 120 zikiunganisha hatwa 1/10 hamfiki...
Nendeni shule pleaseeeee......