data
JF-Expert Member
- Apr 9, 2011
- 26,151
- 22,726
Mnhhh.... Mkuu jiangalie.Inasemekana ameuliwa na mh.RC, ngoja tusubiri details kamili
Mnhhh.... Mkuu jiangalie.Inasemekana ameuliwa na mh.RC, ngoja tusubiri details kamili
Huyu mtoto kuondolewa na Asthma (pumu) mvua zilizonyesha mfululizo hapo Dar na Maingu vilimuathiri sana km alikuwa na historia ya PumuInasemekana ameuliwa na mh.RC, ngoja tusubiri details kamili
haina shida mkuu, endelea na moyo huo maana inaonekana u mtakatifu sana.Tutende yaliyo mema,mtu kaharibu vijana wetu mitaaani kwa madawa halafu tuendelee kumsifia kwa kazi yake hata kama kafa tutaendelea kumsifia kwa yale aliyokuwa anayatenda duniani
NN kweli kabisa mkuu
My issue ni public channel kuendelea kuglorify victim wa sexists , drugs and politics za bei ndogo kwa namna ile
Naelewa motive yao... But not this time
Not this time
watanzania wanatumia kumpost humo mitandaoni marehemu Masogange yaani ni picha chafu ambazo hazina maadili kwa umma nnacho kishangaa ni jee Masogange hana picha nzuri za staha ambazo watu wanaweza kuzitumia kuposti mitandaoni kushow apreciation? au ndio muendelezo wa kumzihaki marehemu?
Daah!!! Kwahiyo alijua anakufa, inasikitishaBABA mzazi wa Agnes Masogange anayeitwa, Gerald Waya amesema, mwanaye alikuwa nguzo katika maisha yao na kifo chake ni pigo kubwa kwake na familia kwa ujumla.
Waya amezungumza na MCL Digital nyumbani kwake Mbalizi wilayani Mbeya, leo Jumapili na kusema,
Masogange ni mtoto wanne katika familia yake ya watoto sita ambapo wakike ni watano.
Amesema, Masogange amesoma Shule ya Msingi Utengule-Mbalizi na Sekondari ya Sangu akaishia kidato cha pili.
Waya amesema Masogange alipata matatizo hivyo akalazimika kuacha shule. Hata hivyo amesema hataki kuzungumzia mambo mabaya wakati huu anapoomboleza kifo cha mwanaye.
“Aliishia form two (kidato cha pili), akapata matatizo ikabidi aache shule. Tulikosana kidogo lakini tukayamaliza yeye akaenda Dar es Salaam,” amesema.
Waya amesema, “Mwanangu alikuwa nguvu kwangu, alikarabati nyumba hii ninayoishi kwa sasa na nilikuwa nafarijika sana, lakini leo kusikia msiba huu kwa kweli inaniuma sana.”
Amesema Masogange alimpigia simu, “Tukaongea naye akaniambia ‘mimi baba ninaumwa’.Nikamuuliza nini tatizo akasema, “aah! baba niombee tu kwa Mungu’. Na Jumamosi iliyopita nilimpigia simu wakati yupo hospitali kujua maendeleo yake lakini akaniambia ‘baba byee’. Nikaanza kulia, na hapo sikuwasiliana naye tena hadi nilipopata taarifa za kifo chake,”amesema.
Wachache watakuelewa Mkuu!NN kweli kabisa mkuu
My issue ni public channel kuendelea kuglorify victim wa sexists , drugs and politics za bei ndogo kwa namna ile
Naelewa motive yao... But not this time
Not this time
Alijiua au aliuawa?Labda biblia yako haina hii sura .Kama inayo soma hapa,"
Ndiposa Baba anipenda, kwa sababu nautoa uhai wangu ili niutwae tena. Hakuna mtu aniondoleaye, bali mimi nautoa mwenyewe. Nami ninao uweza wa kuutoa, ninao na uweza wa kuutwaa tena. Agizo hilo nalilipokea kwa Baba yangu."
Yohana 10:17-18
.Andika vizuri wewe, eti Madogange