TANZIA Agnes Gerald ‘Masogange’ afariki dunia Hospitali ya Mama Ngoma, Mwenge, Dar

Kama unamfollow Mange maana yake anakukuna, mtu useless kwako huwezi kumfollow kwenye social network, peleka unafki wako mbele huko.
Punguza stress ili usome vizuri nimesema I like her kwani we unaumia nini na kuingilia convo za watu utakuja kuparamia visivyoparamika lemutuz we!
 
Yeah,mtoto wa mfalme nasikia hadi nyumba alimpangia kabisa!
Na kwa staili za kupanga nyumba hua swala la kondomu halipo mkuu!....
Hatari sana!
img_20180420_172452_108-jpg.751245


Ni kweli jamaa anamlipia kodi ya pango
mtoto Aggy RIP
 
Wameona wamtangulize maana angetaja mabosi wake wanaomtumiaga kwenye kusafirisha ngada. Ni kama yule aliyesema Lowasa ni baba yake, alipotaja tu na kuomba msamaha mabosi wamemgeuka, sasa anacheza segere la Polisi peke yake.

All in all, RIP.
Nayo ndio madhara ya kuuza unga..ila apumzike kwa amani yeye pamoja na Wateja wake wa unga aliowatanguliza
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom