Agm na Mawakili ***** mtupu.

Nduka Original

JF-Expert Member
Nov 6, 2010
1,012
816
Mimi sijui huwa mnaongea nini huko kwenye hiyo agm yenu ambayo several times inafanyikaga Arusha.
Potelea mbali ongeeni muongeavyo ila pia mkumbushane kuhusu Ukimwi kama janga la Taifa. Mana naona mkishamaliza ni kungonoka tu ndo kinachofuata. Nasema sitaki majimu ya siyo wote ila kikubwa tukemee hii tabia. Kuna watu ili kujinasua mapema kwenye scandal utasikia siyo wote. Hayo ni majibu ya kimwanaasha.
 
Kama ni kweli basi ni hatari, maana bidii ya kuongeza idadi ya mawakili itakuwa ni bure kama wengi wataathirika kwa ajili ya kungonoka.
 
Na hawa ndio washauri wakubwa wa ndoa zetu tunapolalama kuwa wake zetu wasaliti wao wanafurahi kwa kuwa wanajivunia suti zao kuwarubuni
 
Du! Hasira kweli kweli inaonesha utakuwa ulimzuia spouse wako kuhudhuria huo mkutano na unataka kusingizia mambo ya kungonoka. Ukweli hamna kitu kama hicho kungonoka ni tabia ya mtu mtu popote pale alipo iwe MZ, DSM, AR wanaongonok kwa saana wanajijua. So usiwe na hofu mikutano ya wanasheria ina maana sana katika tasnia ya sheria TZ na duniani kote. Kwa mfano theme ya mkutano uliopita ilikuwa nzuri sana kwani iliiangalia mambo yanayosababisha utekelezwaji wa kazi za kimahakama nchini kusua sua. Mkutano ulihusisha mada kutoka mahakamani, kwa mwendesha mashtaka na kwa mawakili wa kujitegemea. Mada ilikuwa nzuri sana, na kungonoka hakika hakukuwepo kabisaaaaaaaaaaaa!
 
Hah! Kweli mshikaji mwanasheria, utetezi utadhani uko mahakamani!
 
Nilimwona Rizi pale R.I.P (Arusha City Garden - Makaburini) akiwa na Benzi askijishow show na wapambe wanaotaka maisha mepesi, haieleweki bwebwe za Rizi kwenye Mikutano ya mawakili ni za NINI..
 
Back
Top Bottom