agizo la waziri mkuu halijatekelezwa

Uliza_Bei

JF-Expert Member
Feb 17, 2011
3,216
990
Hapa Tanga waziri Mkuu Majaliwa alimuagiza Mkuu was mkoa Mwantumu Mahiza asisikie tena sukari toka nje inaingia kinyemela. Naona huyu Mkuu kadhindwa kusimamia hilo. Leo nimekutana na pikipiki zaidi ya 10 kila moja imebeba mifuko mitano ya sukari. Inatoka kijiji karibu na Kingfisher hotel cha kigombe karibu na Pangani. Hapa majahazi yanayosemekana hutoka Zanzibar yanashusha shehena ya sukari na bidhaa zingine usiku. Pikipiki ndiyo zinabeba shehena hii kuja Tanga mjini. Nashauri wanajeshi waweke kambi hapo. Kwavile Polisi wamezidiwa.
 
Back
Top Bottom