Mimi.
JF-Expert Member
- Sep 7, 2011
- 2,117
- 3,041
Hutakua hujui sheria za wizara ya madini,huruhusiwi kutoka na jiwe kama huna leseni ya kuuza madini....kwahiyo mule ndani ya ukuta kuna soko la madini ndio tunauzia humu,wanunuzi wakishanunua ndio anaenda nalo mule wizarani na kufanyiwa tathimini then analipa kodi na kutoka na jiwe lake. Hakuna loopehole yeyote ni kusachiwa mwanzo mwisho

Ushaidi wa nini hapo sisi Ni wadau imeletwa topic tutor comments , huyu mdau yeye amesema wana Apollo ni wabia kwa nini aokote yatakayobaki tenaUnaongea kama polepole bila kua na ushahidi,hapo kuna 10% ambayo iko toka 2018 kisheria mgodi unaapolo zaidi ya 300,...chukua mawe yametoka ya 3bn ukiwapa 300m wagawane kila mtu anapata 1m hiyo ni pesa,wao ndio humtolea tajiri mawe kwa kuganya hiyo kazi ngumu.
Istoshe mgodi unaweza kutoa mara moja ndani ya miaka 7 huoni hapo ugumu wa maisha yao
hiko wanachokitaka kwa serikali hii hakiwezekani tusidanganyane kwamba waluusiwe kupita na mawe getini kwa kua wao ni wanyonge kutakua na loopholes za kutolosha kupitia wao
I understand it takes longer kwa mgodi kutoa nina ijua hiyo bishahara kupitia mtu wa karibu anaefanyabhizo shughuli, hustles zake naziona, alipata 4 years ago hajapata tena Mpaka na leo
kwa ushauli kwa wana Apollo waiombe serikali na wao walipishwe kodi kidogo kwa watakayookota hata kidogo lakini sio waachwe Magu hawezi kuelewa