NI MTAZAMO TU
JF-Expert Member
- Feb 20, 2014
- 1,203
- 999
Unamatatizo mkuu mimi siuzi bidhaaa huku ,ila kama kuna kitu ungependa ambacho umekiona popote na unahitajika msaada wa kukipata,mimi nitasaidia kukutafutiaWeka vitu vyako na bei tuchague
Utapata mkuu pin mimiMimi nahitaji smart watch ya apple..
Ukituma pesa inafika mkuu nakupa Account yangu tu. Ila nakuunganisha Bongo na familia yangu ili kama nitakuwa sio mwaminifu upate pa kuanzia..Terms of payments!?
Hizo zinaanzia euro 45 mpka 300 Inategemea na GB inategemea na kampuni mkuu. Euro imesimama tshs 2430 kwa sasaMe nataka amazon kindle paper white!
Nijie na 8GB laptop RAM ddr3. Nitakupa pesa yako chap chapHizo zinaanzia euro 45 mpka 300 Inategemea na GB na campuni mkuu. Euro imesimama tshs 2430 kwa sasa
Na Tarehe 22 July nikuja dar likizo mkuu..
Mkuu kikubwa nikupe namba ya home kwangu dar uwape pesa waitume nikununulie .Nijie na 8GB laptop RAM ddr3. Nitakupa pesa yako chap chap
Wadau ulimwengu huu wa kusaidiana KWA SISI WATANZANIA ,nipo chuo hapa ujeruman kwa sasa kama utahitaji chochote nikununulie toka hapa nitafanya hivyo na kukutumia kwa DHL. (NITAKUKUTANISHA NA FAMILIA YANGU BONGO KWA UAMINIFU ZAIDI)
NB: bei ya vitu huku ipo juu kwaajili ya Quality yao na kodi zao tofauti na China na nchi za Asia.
NIMEANDIKA HIVI MAANA MTU ATATAKA KULINGANISHA NA BEI YA KARIAKOO.
NI PIN IN BOX NIKUPE NAMBA YA WHATSAPP
Unga upo kiongozi, wana Ghana na Wanaigeria Wanaleta sana huku kakaSamahani kama nitakukwaza....hivi huko unga una bei kama vile China au? Nina kilo kadhaa nikuletee kisha uninunulie mizigo nitakayo kuagizia uniletee. Tuwasiliane zaidi juu ya hili, unasemaje? Kuleta unga huko kwako si ishu, pale JKNIA haina ishu, nina watu wangu pale.
Unga upo kiongozi, wana Ghana na Wanaigeria Wanaleta sana huku kaka
Sasa hivi ulaya yote inatumia pesa inaitwa Euro mkuu hakuna tena Deutsche markLakini wakibongo si nouma kuliko ya kwao? Bei ya unga wa kibongo ni Deutschemark ngapi kwa kilo?