Agiza Gadget yoyote uipendayo kutoka UK

Agiza Gadget yoyote uipendayo kutoka UK

Kama unafanya biashara kwa kubahatisha then unaenda chaka. Why would you buy and order something for someone you haven't even set your eyes on? Why wouldn't you institute 50% down payment in that way you would have a leverage?
It would be much easier if I had an office. I operate everything online hence taking the risk. I dont want to have an office because the whole idea of "affordable" will no longer be there, It will push me to charging premiums etc to cover the office costs and so on. I buy things on people's behalf without a down payment only if the order is less that 1m and at the moment Only orders that are resell-able are accepted.
So far I have so many orders that I need to rethink my operating terms....

Thanks for your consideration and good will.

NB: Deposits will follow once I have enough testimonials and referrals. I am also setting up a website for easy trading.
 
Buyer siku zote

Yes Buyer analipa, lakini namsadia clearance na kulipa, kwasababu naleta vitu vingi kwenye order list moja inakuwa ngumu kumruhusu kila mtu akajilipie mwenyewe airport.
 
Duuh kumbe bei ghali hivyo..!! Ok tutakuchek bro kwa vitu vya bei poa
Quality matters mkuu. Products za UK hata kama zimetengenezwa China zinakuwa na ubora wa hali ya juu kwasababu nchi yao ina sheria kali sana.
 
Ni kweli ungechukua down payment hata ya 20%
Down payment itafuata, sasa hivi natengeneza clientele kwanza, nikishakuwa na a certain no of happy customers mengine yatafuata...
NB: Hata hiyo 20% ni ngumu kuipata kama watu bado hawajakujua na kukuamini, ni ngumu mtu kukubali kukupa downpayment wakati naye hakujui au hajawahi hata kuona mtu anakusifia kwa uaminifu wako na ubora wa biashara yako nk...
Asante kwa kujali, na kuonyesha ushirikiano.
 
Sorry Guys nilisafiri nje ya nchi kidogo over the weekend, Nimerudi leo... Kwa wale wote mlioagiza vitu, orders zenu ziko njiani...Tutawasiliana kwa simu kama tulivyokubaliana, and please come back here and share your experience with others to get this thing going...
 
Kuna mwingine alikuja kama hivi halafu akapotea bila kujibu maswali ya watu!

Duuh kumbe bei ghali hivyo..!! Ok tutakuchek bro kwa vitu vya bei poa

Wakuu,
Nimetoka kuchukua mzigo wangu kwa huyu jamaa, kanifikishia vizuri kabisa. Nilimuagiza Satlink meter kwa ajili ya kazi zangu za kufunga madishi, nimepokea leo ikiwa vema sana. Hudhaifiy, gharama zake ni reasonable kwa risk anayochukua, hasa iwapo unaagiza bidhaa yenye bei kubwa. Mie niliagiza bidhaa ya £101, mpaka imefika nimelipa 380,000/-, inclusive ya kodi zote na gharama yake ya kazi hiyo.
 
Last edited by a moderator:

Asante kwa ushuhuda. Karibu tena.
 
Habari wana JF,
Kama unahitaji Gadget yoyote kutoka UK (New/Used), iwe simu, laptop, tablet, smart phone, digital camera nk... unaweza kuwasiliana nami. Ntakununulia na kukuletea kisha utalipia ikishafika na kukukabidhi...
Angalizo: Unapoagiza hakikisha una pesa taslimu za kulipia kwani mzigo ni kati ya siku 7-10 unakuwa tayari umefika.... kwahiyo jipange... Sikopeshi...
NB: Chochote utakachoagiza utalipa gharama ya manunuzi taslimu iliyo kwenye risiti, shipping cost na service charge ya pound 20 tu.. yaani aprox elf50.

Kwa mawasiliano, PM au piga simu namba 0714881500.

Shukran, na Karibuni Sana.
mkuu habar, Samahani niliitaji kuuliza kama umekuta bidhaa ipo kwenye bid then mda wake unakalibia kuisha then na mm nika bid afu nikashinda bid hiyo UNAWEZA KUNICHUKULIA HUO MZIGO NILIO BIDI MIMI NIKASHINDA?? NATANGULIZA SHUKRAN MKUU
 
Bila ya samahani ndugu,
Ili uweze kubid inakulazimu uwe umeshajisajili Ebay na account yako inafanya kazi. Sasa ukibid kwa kwa kutumia ac yako na ukashinda, anayeruhusiwa kununua hiyo bidhaa ni yule tu aliyebid na kushinda (winning bidder) Hiyo ni automatic. Na ebay hawawezi kuruhusu umuhamishie mtu mungine jukumu la kulipa ndio maana kuna button ya Commit to Buy imewekwa, Punde unapobid na kucommit to buy basi wewe ndio kisheria unapaswa kulipia.
Kwa urahisi wa mambo ni vema ukaangalia bidhaa zenye Buy It Now ili unaponipa link mi niwese kununua kupitia account yangu. Na kama unahitaji Nibid kwa niaba yako basi itabidi unipe tu item no au link ya hiyo item halaf mimi ndio nibid kupitia account yangu.
Ili kufanya hivi nitahitaji Uwe umeshalipa Kabisa gharama za mzigo kwani naweza kubid kwa niaba ya mtu halaf akabadili mawazo ikaniingiza katika majukumu mengine na Ebay.

Karibu sana.
 
Ok, sasa kuhusu kukulipa kabla mzigo haujaununua inakua ngumu kujua ni kiasi gani coz navyo jua unapo bid yawezekana Baada ya ku bid akaja mtu mwingine akabidi hela hapo inaongezeka huoni inakua na ugum Fulani, afu link au iterm nayotaka ubid ni ile ilio bakia Kama saa au dakika! Afu mtu kubadili mawazo KWA upande wangu haiwezekani coz na jua hi ni biashara bwana, Please jalibu kucheki mawazo yangu ukiona haina shida kuna bidhaa nyingi naziitaji ; Kaz njema mkuu!!!!!
 
Huwa nashauri zaidi mtu achague bidhaa za buy it now. Kwani ni rahisi sana kuzinunua. Bidding takes time, na sio kila saa nipo online. Naomba uchague bidhaa ya buy it now ili iwe rahisi kwetu sote, kwani hata ukibid wewe kuna uwezekano wa kuwa outbodded na watu wengine kwani kila mtu anaset automatic bid zake kulingana na budget.
 
Habari wana JF,
Kama unahitaji Gadget yoyote kutoka UK (New/Used), iwe simu, laptop, tablet, smart phone, digital camera nk... unaweza kuwasiliana nami. Ntakununulia na kukuletea kisha utalipia ikishafika na kukukabidhi...
Angalizo: Unapoagiza hakikisha una pesa taslimu za kulipia kwani mzigo ni kati ya siku 7-10 unakuwa tayari umefika.... kwahiyo jipange... Sikopeshi...
NB: Chochote utakachoagiza utalipa gharama ya manunuzi taslimu iliyo kwenye risiti, shipping cost na service charge ya pound 20 tu.. yaani aprox elf50.

Kwa mawasiliano, PM au piga simu namba 0714881500.

Shukran, na Karibuni Sana.

Wakuu,
Nimetoka kuchukua mzigo wangu kwa huyu jamaa, kanifikishia vizuri kabisa. Nilimuagiza Satlink meter kwa ajili ya kazi zangu za kufunga madishi, nimepokea leo ikiwa vema sana. Hudhaifiy, gharama zake ni reasonable kwa risk anayochukua, hasa iwapo unaagiza bidhaa yenye bei kubwa. Mie niliagiza bidhaa ya £101, mpaka imefika nimelipa 380,000/-, inclusive ya kodi zote na gharama yake ya kazi hiyo.

Mkuu kwanza nakupa hongera kwakuwa umetake humongus risk but still umestrive kupata approval kwa trusted members of jamii forums (Idimi ),. nilishawahi kupost somewhere kwenye thread za online shipments [h=2]Manunuzi kwa Ebay ,My first ebay Shipment....!!![/h] kuhusu uoga wa wabongo kununua vitu online, ila atleast wewe unaweza kuwa mmoja kati ya peoneers wa kuwtoa watu woga kuhusu this modern marketing era ambayo ni cheap mno.... namba yako nimechukua ni case i will need your services mkuu ila i jus wanted to say big up sana na ulichokifanya sasa nakiona ni positive maana mwanzo nilikuwa nakuona kama scamer hivi ila naow i can put a little trust in u,. pamoja na yote naomba niwaalike njunwa wamavoko , albert_lema , darhood ,C6, CYBERTEQ, t blj, donlucchese, mbishi2004 kama baadhi ya watu ambao wanaonesha interest na oline marketing na pengine unaweza kutusaidia kimawazo na kihuduma zaidi. mapendekezo yangu yana aim officiality, ts best atleast ufungue blog ambayo haitakukcost hata mia weka online clickable links contacts zako vizuri huduma namna ya kukupata na wapi tunakuja kuchukua mizigo na watu wa mikoani kama sis wa mwanza unatusaidiaje. pia ts best ukiwa na skype ili tuweze kufanya dialog nzuri tuonane atleast kidogo inaongeza trust sana.
haya ni mawazo yangu binafsi labda kama wenzangu hapo juu wana nyongeza yeyote , All in all wat ur doin z amayzing keep it up funguka watu wakujue and walaah!!! u got urself a bussiness... joe out
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom