Mkuu kwanza nakupa hongera kwakuwa umetake humongus risk but still umestrive kupata approval kwa trusted members of jamii forums (Idimi ),. nilishawahi kupost somewhere kwenye thread za online shipments Manunuzi kwa Ebay ,My first ebay Shipment....!!!
kuhusu uoga wa wabongo kununua vitu online, ila atleast wewe unaweza kuwa mmoja kati ya peoneers wa kuwtoa watu woga kuhusu this modern marketing era ambayo ni cheap mno.... namba yako nimechukua ni case i will need your services mkuu ila i jus wanted to say big up sana na ulichokifanya sasa nakiona ni positive maana mwanzo nilikuwa nakuona kama scamer hivi ila naow i can put a little trust in u,. pamoja na yote naomba niwaalike njunwa wamavoko , albert_lema , darhood ,C6, CYBERTEQ, t blj, donlucchese, mbishi2004 kama baadhi ya watu ambao wanaonesha interest na oline marketing na pengine unaweza kutusaidia kimawazo na kihuduma zaidi. mapendekezo yangu yana aim officiality, ts best atleast ufungue blog ambayo haitakukcost hata mia weka online clickable links contacts zako vizuri huduma namna ya kukupata na wapi tunakuja kuchukua mizigo na watu wa mikoani kama sis wa mwanza unatusaidiaje. pia ts best ukiwa na skype ili tuweze kufanya dialog nzuri tuonane atleast kidogo inaongeza trust sana.
haya ni mawazo yangu binafsi labda kama wenzangu hapo juu wana nyongeza yeyote , All in all wat ur doin z amayzing keep it up funguka watu wakujue and walaah!!! u got urself a bussiness... joe out
Habari wana JF,
Kama unahitaji Gadget yoyote kutoka UK (New/Used), iwe simu, laptop, tablet, smart phone, digital camera nk... unaweza kuwasiliana nami. Ntakununulia na kukuletea kisha utalipia ikishafika na kukukabidhi...
Angalizo: Unapoagiza hakikisha una pesa taslimu za kulipia kwani mzigo ni kati ya siku 7-10 unakuwa tayari umefika.... kwahiyo jipange... Sikopeshi...
NB: Chochote utakachoagiza utalipa gharama ya manunuzi taslimu iliyo kwenye risiti, shipping cost na service charge ya pound 20 tu.. yaani aprox elf50.
Kwa mawasiliano, PM au piga simu namba 0714881500.
Shukran, na Karibuni Sana.
Karibu sana.Aisee nitakutafuta kaka
sawasawa mkuu. what about amazon huwa unachukua mizigo? nimekuja kunotice kuwa amazon wanapack na kuship wenyewe so you will be the best transist bro.. ill be in touch mkuu expect me at any time..Shukran sana Ndugu, Actually Mimi na Njuwa wa Mavoko ni watu tunafahamiana kibiashara na tunaaminiana sana, nanunua kila mwezi anti censorship kwake.
Kuhusu kumake it official Ndugu Mimi nafanya hivi vitu out of passion tu, na si Main Business yangu, najaribu kusaidia watu ili niongeze wigo wa mtandao wangu wa kibiashara katika huduma nyingine muhimu sana ninayoifanya ya Greenhouses na AgriBusiness in general (Pitia hapa utaona - https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...08513-jenga-greenhouse-kwa-gharama-nafuu.html). Also haya mambo ya kuwaagizia vitu watu yanahitaji muda sana na nikishakuwa nawapa watu skype id yangu na kufungua blog ntakuwa silali ndugu. Yes its business lakini you have to put some limits in what you do especially ukishakuwa na familia. Kuna watu wengi tu nimeshawahudumia kupitia hapa hapa JF lakini kwa sababu zao binafsi hawawezi kutoa mrejesho hapa. Nimeshawaagizia watu hadi Mascania, Pick ups za mamilioni ya fedha na kuwasaidia wengine UK Visa Processing bila matatizo.
Karibu sana.
Yes amazon pia nanunua. Hakuna tatizo tuzidi kuwasiliana.sawasawa mkuu. what about amazon huwa unachukua mizigo? nimekuja kunotice kuwa amazon wanapack na kuship wenyewe so you will be the best transist bro.. ill be in touch mkuu expect me at any time..
Tafadhali Ingia Electronics, Cars, Fashion, Collectibles, Coupons and More | eBay au www.amazon.co.uk Kisha search unachotaka, ukishapata niPM unipe link Ntakupa mchanganuo wa bei. Kwa bahati mbaya inakuwa ngumu sana kwa mimi kukuchagulia kwani Matakwa ya kila mmoja yako tofauti.Nahitaji tv flat lg au samsung kuanzia 40" used mpaka naipata itanigharimu pesa ngapi?
Laki saba tu boss. Factory unlocked n refurbishedBB Q/Z10 sh ngapi mpaka ifike kwangu mkononi?
Aisee nitakutafuta kaka
Ndio ni Kaka, Mamana na Sio MAMA NaMamaNa ni kaka tena?
Ndio ni Kaka, Mamana na Sio MAMA Na
Kubadili ni mpaka niwasiliane na Mod, and Im too lazy for that....Loh, mkuu badili hiyo username iandike vizuri "Mamana" ni kitu tofauti sana na "mamaNa", ina mislead kaka.
hiyo ikifika hapa halipiwi kodi???(import duty,VAT)Je haina delivery charge ya UK? Assume haina, gharama iko hivi
£293*2650=776450 Tshs (Hii ni pesa ya manunuzi)
£15*2650=39750 Tshs (Hii ni gharama ya kuleta Tz)
£20*2650=53000 Tsh (Hii ni gharama ya kunilipa mimi kwa kazi ninayofanya)
Total: 869200 ~ 870,000 TShs.