Aging gracefully

Speaking of Marry J, aisee huyu Mama still enegic like yupo kwenye 30's old.

Kwenye Tunzo za BET 2019, category ya Lifetime Achievement Award dada alionesha stil ana zile hype na vibe za kutosha sana. She dd almost nyimbo zake zote kali hasa zipe za 90's akiwa na mzuka mkubwa sana hasa wakati wa ku dance.

Kuna makala yake niliiona miaka kama 5 hv anaeleza kuwa jambo kubwa sana ambalo limemsaidia ni mazoezi na kula kwa afya.
 
kwaiyo hapo Marry J ndio mdogo😳, yaani ni wazee wanaozeeka na utamu yaani Halle Berry akisimama na Wema sepetu anaonekana mdogo kumbe anaweza kumzaa🤣🤣
 
Muda wao wa kula pension umefika.

Vijana wa kiume kwa wa kike tafuteni pension zenu enzi za ujana wenu muyafurahie maisha uzeeni.
 
Halle Berry kwenye movie yake ya mwisho 'bruised' yuko fit
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…