Mi nna mashaka kila mmoja wenu kifikra anamazungumzo mengi sana na mwenzie ila hamjaamua kuyaweka kiuhalisia
Kama vipi amsha dude ila kama unangoja akwambie neno sahau mpaka yesu arudi hatosema.
Mpunguzie uoga Kwa kujenga ukaribu nae kisha mwambie aache utoto halafu achana nae.