Nothing is impossibleImpossible mkuu si wataniona waajabu
Sisi wenyewe huku tunakuona wa ajabuImpossible mkuu si wataniona waajabu
Yaani wewe anaekumbia unamfahamu, rafiki zake unawafahamu, ndugu zake unawafamu... Alafu unakuja kutusumbua sisi tusiomfahamu. Is this fair? Yani ww wa ajabu sanaKwanini mkuu?? labda unaweza kudadavua na mimi nikaona huo udhaifu mkuu
Duuuh!! aisee me sio mtu ninayependa sana kujipendekeza kwa wasichana hasa wa mtaa mmoja au wa pili so hata kutoaga salam huwa kwa wale nilio karibu nao kias alaf then suala la sio mimi tu hata yeye angeweza fanyq hivyoMiaka 15 hamjawahi ongeleshana,,hata salamu?? Mi kwa harakaharaka naweza Sema inawezekana anahisi we ni jini,,
Miaka 15? Hata mi ningekuogopa
Hii inatokana na kutokusoma thread vizuri mkuu soma kwanza thread vizuri mkuu mwanzo mpaka mwishoYaani wewe anaekumbia unamfahamu, rafiki zake unawafahamu, ndugu zake unawafamu... Alafu unakuja kutusumbua sisi tusiomfahamu. Is this fair? Yani ww wa ajabu sana
..