Aggrey Mwanri yuko wapi?

MWANRI ALIJALI MAJUKUMU YA WIZARA NA KUWASAHAU WANANCHI WA JIMBO LAKE...Hicho ndicho kimewachosha wananchi.
 

Kosa lake kubwa ni ule mradi wa maji mkuu,pia alizidisha utemi ukitaka kuhoji kitu unawekwa ndani
 
Mjiandae kisaiklojia huyo ndiye waziri mkuu wenu.
 
Kosa lake kubwa ni ule mradi wa maji mkuu,pia alizidisha utemi ukitaka kuhoji kitu unawekwa ndani
ndio nasikia sasa hivi
kumbe lile sakata la wananchi kukataza maji na waandishi kufukuzwa ni katika Jimbo la Siha?
basi hao watakuwa ni Wamaasai ndio wasiotaka maendeleo
ninachosema namuombea angalau akumbukwe katika Ubunge kwani MFALME HATAMBULIKI KWAO

Wagogo wa Kongwa walimkataa kabisa Ndugai mpka ikawa vita na wakamzushia kamuua mgombea mwenzake kwa fimbo lakini leo ndugai ni Spika wa wote
Wanyakyusa wa Kyela pia walimkataa Mwakyembe mpaka wakamkodi Kubenea lakini wapi Harrison kapita nado ngazo mojam tu awe Waziri Mkuu
 
Hata mimi namkubali sana. wamemtema tu kwa kuichukia ccm hao wamangi lakini mwanri ni mtendaji mwenye tija kubwa serikalini. inaonekana anafaa kuitumikia serikali yenye kaulimbiu 'hapa kazi tu'

Nakubaliana nawe asilimia mia moja!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…