mzeewangese JF-Expert Member Joined Feb 11, 2016 Posts 645 Reaction score 503 Jul 19, 2017 #1 Habari Wakuu, Hivi ushawahi fanya kazi na Agressive Boss..Ni shida kama una moyo mwepesi unaacha kazi ,pasua kichwa ,wanakondesha anataka uwe kama geogle yani swali jibu,wanakula akili sana. Kama ushawahi kutana nao njoo tu share experience .
Habari Wakuu, Hivi ushawahi fanya kazi na Agressive Boss..Ni shida kama una moyo mwepesi unaacha kazi ,pasua kichwa ,wanakondesha anataka uwe kama geogle yani swali jibu,wanakula akili sana. Kama ushawahi kutana nao njoo tu share experience .
K kabunda88 JF-Expert Member Joined Nov 8, 2015 Posts 3,094 Reaction score 2,694 Jul 19, 2017 #2 nipo kwa wahind campun flan daaa hatar ubaya hawapend hata maendeleo ya wafanya kaz Sent using Jamii Forums mobile app
nipo kwa wahind campun flan daaa hatar ubaya hawapend hata maendeleo ya wafanya kaz Sent using Jamii Forums mobile app
mzeewangese JF-Expert Member Joined Feb 11, 2016 Posts 645 Reaction score 503 Jul 19, 2017 Thread starter #3 kabunda88 said: nipo kwa wahind campun flan daaa hatar ubaya hawapend hata maendeleo ya wafanya kaz Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Wanataka uwe chini kila siku
kabunda88 said: nipo kwa wahind campun flan daaa hatar ubaya hawapend hata maendeleo ya wafanya kaz Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Wanataka uwe chini kila siku
Joseverest JF-Expert Member Joined Sep 25, 2013 Posts 53,332 Reaction score 72,655 Jul 19, 2017 #4 Daah acha tu mkuu kuna maboss wengine nuksi..Siku akiwa na stress zake matusi na usumbufu wote unashushiwa wewe yaani
Daah acha tu mkuu kuna maboss wengine nuksi..Siku akiwa na stress zake matusi na usumbufu wote unashushiwa wewe yaani
Nokia83 JF-Expert Member Joined Jan 16, 2014 Posts 24,636 Reaction score 44,392 Jul 19, 2017 #5 Sasa usiombe ukutane na bosi mwanamke mtu mzima halaf anataka umkaze na ofisini wanakwambia tayari kaungua
Sasa usiombe ukutane na bosi mwanamke mtu mzima halaf anataka umkaze na ofisini wanakwambia tayari kaungua
mzeewangese JF-Expert Member Joined Feb 11, 2016 Posts 645 Reaction score 503 Jul 19, 2017 Thread starter #6 Joseverest said: Daah acha tu mkuu kuna maboss wengine nuksi..Siku akiwa na stress zake matusi na usumbufu wote unashushiwa wewe yaani Click to expand... Mbaya sana Mkuu inauma sema unastahimili ukiangalia majukumu ndio kama hivyo.
Joseverest said: Daah acha tu mkuu kuna maboss wengine nuksi..Siku akiwa na stress zake matusi na usumbufu wote unashushiwa wewe yaani Click to expand... Mbaya sana Mkuu inauma sema unastahimili ukiangalia majukumu ndio kama hivyo.
MO11 JF-Expert Member Joined Mar 23, 2014 Posts 19,698 Reaction score 42,009 Jul 19, 2017 #7 kabunda88 said: nipo kwa wahind campun flan daaa hatar ubaya hawapend hata maendeleo ya wafanya kaz Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... wahindi ndio watu rahisi sana kufanya nao kazi wewe mlamikie tu hali ngumu mkope tu kila siku usivae nguo mpya ukienda kazini nguo zikichakaa mkope hela ya nguo mpya hata kama unamuibia hatachunguza
kabunda88 said: nipo kwa wahind campun flan daaa hatar ubaya hawapend hata maendeleo ya wafanya kaz Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... wahindi ndio watu rahisi sana kufanya nao kazi wewe mlamikie tu hali ngumu mkope tu kila siku usivae nguo mpya ukienda kazini nguo zikichakaa mkope hela ya nguo mpya hata kama unamuibia hatachunguza
Joseverest JF-Expert Member Joined Sep 25, 2013 Posts 53,332 Reaction score 72,655 Jul 19, 2017 #8 mzeewangese said: Mbaya sana Mkuu inauma sema unastahimili ukiangalia majukumu ndio kama hivyo. Click to expand... True mkuu
mzeewangese said: Mbaya sana Mkuu inauma sema unastahimili ukiangalia majukumu ndio kama hivyo. Click to expand... True mkuu