Elections 2010 Agenda

Mnyalu wa Kweli

JF-Expert Member
Oct 7, 2010
233
55
Ndugu zangu baada ya kuchakachua matokeo na CCM kujitangazia ushindi wanaharakati za ukombozi na kambi ya upinzani ina kazi zifuatazo sasa:
1; Kupigania katiba mpya inayokidhi mazingira ya vyama vingi
2: Kuhakikisha tume ya taifa ya uchaguzi inakuwa huru
3; Kuandaa programme maalum ya utoaji civic education
4;** Itungwe sheria itakayowabana watu watakaoshindwa kupiga kura baada ya kujiandiakisha. Kuna mtu jana kaniambia Australia wana sheria ya aina hiyo. Sijiui kama ni kweli***. Nawasilisha wakuu.




Hakuna Marefu Yasiyokuwa na Ncha
 
Back
Top Bottom