Kweli hii nchi kuitawala ni simple sana. Kufukuzwa kwa Nchemba sijaona impact yoyote ya kutusahaulisha mambo ya msingi:-
1.Ajira hakuna
2.Hakuna kupanda kwa mishahara
Nk nk
Bajeti haikuwa na mvuto, ndicho kinachowakera. [HASHTAG]#SIDANGANYIKI2020[/HASHTAG]