Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 54,506
- 101,872
Utatusumbua na "nitoke vipi" yako hadi tutakoma ubishi.Qué bueno
Utatusumbua na "nitoke vipi" yako hadi tutakoma ubishi.Qué bueno
Ndio nini mkuu... fafanua...Claro
Español hio hahahaha namaanisha hakikaNdio nini mkuu... fafanua...
18 mbona mingi mtoto wa miaka 5 ana akili za mtu mzimaUmri hau define uwezo wako, potential,busara,hekima,au mafanikio yako
Kuna mtu ana miaka 18 lakini ni smart kwenye angle zote,
The same kuna mtu yuko na 30,40,50,60yrs lakini ni bogus.
Mindset matter,No limit.
Kwa aina hii ya kuwaza, ndiyo kusema hakuna watu wenye umri mkubwa wakawa vema vichwani?Na hapo ndio maana ya age means nothing inapolala
Umri una akisi mambo mengi sana kufikiria kufanya maamuzi kupata fursa nk sijui umenielewa na wewe hata unayoyasema yanaendana na umri huwezi kuchota busara za miaka 45 kwa kijana miaka 20 suala la kusema age is just a number hizo ni porojo pambana kufanya kitu according na umriUmeelewa point yangu
Unakijua au umechapia tu mkuuEspañol hio hahahaha namaanisha hakika
Kufikilia ndio kitu gani?Umri una akisi mambo mengi sana kufikilia kufanya maamuzi kupata fursa nk sijui umenielewa na wewe hata unayoyasema yanaendana na umri huwezi kuchota busara za miaka 45 kwa kijana miaka 20 suala la kusema age is just a number hizo ni porojo pambana kufanya kitu according na umri
Huyo atakuwa aliwahi kuishi akafa akazaliwa tenaa18 mbona mingi mtoto wa miaka 5 ana akili za mtu mzima
Nikweli na ukizeeka hata uwe na hekima vipi utapuuzwa sababu NI mzeeMzee halafu ni bogus ni useless kwa jamii
Nakijua mkuuUnakijua au umechapia tu mkuu
Kinyume chake ni jibu pia.Umri hau define uwezo wako, potential,busara,hekima,au mafanikio yako
Kuna mtu ana miaka 18 lakini ni smart kwenye angle zote,
The same kuna mtu yuko na 30,40,50,60yrs lakini ni bogus.
Mindset matter,No limit.
umeona sasa unakimbilia kwenye makosa ya kimatamshi wakati unaelewa hoja ya msingi ni ipi au ndio nipo na form six leaver hapa unasubilia kwenda chuo unapoteza mda wa kubishana giza lingie ukamalizie movie ya jana ulaleKufikilia ndio kitu gani?
TWo factors zina determine. Makuzi na mazingira. Hivyo viwili vikikosewa hata ufike 70s bado utakuwa na dedect kitabia, low IQ na vingineUmri hau define uwezo wako, potential,busara,hekima,au mafanikio yako
Kuna mtu ana miaka 18 lakini ni smart kwenye angle zote,
The same kuna mtu yuko na 30,40,50,60yrs lakini ni bogus.
Mindset matter,No limit.