Age means nothing it's just a number

Age means nothing it's just a number

Umri hau define uwezo wako, potential,busara,hekima,au mafanikio yako

Kuna mtu ana miaka 18 lakini ni smart kwenye angle zote,

The same kuna mtu yuko na 30,40,50,60yrs lakini ni bogus.

Mindset matter,No limit.
Nyakati ndio huamua smartness ya MTU au ubogus wake!!

Kama kile anachofanya kitadumu au ninupepo wa muda!

Nyakati ndio kipimo sahihi cha kila jambo chibi ya jua!

King Solomon was very smart,but baadae akaona ni ubatili mtupu na akaishia kuzimu!
Chunga nyakati pekee!
 
Umri hau define uwezo wako, potential,busara,hekima,au mafanikio yako

Kuna mtu ana miaka 18 lakini ni smart kwenye angle zote,

The same kuna mtu yuko na 30,40,50,60yrs lakini ni bogus.

Mindset matter,No limit.
Umri una define mambo mengi sana sasa wewe jichanganye upo 40+ ukomae na mambo ya 20+ utakuwa kituko
 
Back
Top Bottom