age gap relationship.

kitu kingine sikusema hapo juu:

mimi ni mpiga jembe tu, yeye anakazi yake na mshahara mzuri - hii pia inaniweka kwenye fikra.
sitokuwa mbali na watoto wangu and will support them kwa kila kitu.


aaaa kumbe inferiority complex inakusumbua.
 
ulishavua nguo huna budi kuoga,,,, kadri umri wa mwanaume unavyosogea hata kama unakula vipi uwezo wako wa kufanya ile kitu unapungua labda uongeze na viagra,,,,halafu umri wa miaka 30 kwa mwanamke ndo umri ambao anafurahia sana kale katendo,,, sasa kama we utakuwa 50!!!! Hapo kazi ipo..

Seto, hapo umesema yote hiyo ndio fikra yangu mbovu haswaaaa:sad:
gap ya 20 years sio mchezo mkuu, mwanamke ndio kwanza anarapa
kwa manyege - kazee umebaki kutia vidole ukichokora hamna kitu.
 
hapo kwenye bold umepaona? inaonekana yeye anakupenda sana tu but wewe sio kiivyo. Wewe sema umemchoka umepata wa kwako huko wataka umuache. Wewe utaanzaje kuwaza sijui ukifika 50s mara wamwambia atafute wa age yake? sikuelewi. Sio kwamba una feel insecure but umepata mwingine watafuta tu sababu

Truly, hivi sasa ananipenda sababu shughuli ipo, labda bado hamjanifahamu.
unajuwa mukiowana young same age or a little different, munazeeka pamoja,
siku zambele hakuna wa kumlaumu hata mkilala kila mmoja kaelekea ukutani
mumepeana migongo hamjali - nyote mumekula uroda wa kutosha kwenye ujana right?

lakini uongo katoto kadogo na mimi nishazeeka, uongo hatokubali kupapasa chuchu
na kunusa sambusa, huwezi kuila tena, utamtesa kijana wa watu right?
 
mnh unajuaje utafika huo umri mkubwa?
wewe live today as if there is no tommorow...
ikifika umefikia huo umri mkubwa,then utajua nini cha kufanya huko kwa huko....
you will b suprised,mkeo hamu yake naye ika cease....
mwili nao una njia yake ya kujiadjust,kama ipo utataka kama haipo hautataka!...:twitch:
 
du! 17 years????

Uzee upo na utakuja usiwaze sana ukachanganyikiwa..atazeeka na wewe!!
 
I dont think if you are doing her justice. Umekuwa na yeye mida hiyo yote na ushamzalisha watoto wawili and now you are here telling us age difference. To me you are not wise enough. And then if you love her and she loves you that much why should you worry. I think that is the most important thing if there is love between you guys. Endeleeni na maisha bila wasiwasi.
 
mimi na mke wangu (3 yrs mrrge), age gap yetu ni 17 yrs.
tumejaaliwa kupata watoto wawili wazuri, tunapendana na
hasa yeye ananipenda sana2.

kwa muda nimekuwa nikikerekwetwa kuhusu future yetu,
huwa nafikiria nikifiaka 50 yeye atakuwa ndio kwanzaa 30's
unajuwa mke na mume sio kula na kuvaa tu, kuna mambo
ya uke na uume, na age kubwa itaanza kuta tatizo hahaha.

nimemweleza (for her future), ni bora atafute mume age
kama yeye mapemaa kabla ya kufika mbali, lakini imekuwa
vigumu kukubali, anasema hataki kusikia age difference yetu,
atanipenda mpaka kufa.

wasi2 wangu uko pale pale, mola akinifikisha umri mkubwa
labda fikra zangu mbaya - nini advise yenu, continue with
our life or else...

mapenzi ya kweli ndo kila kitu... mengine yote geresha tu!!muhimi wote muwe na afya njema!!:coffee::coffee:
 
mnh unajuaje utafika huo umri mkubwa?
wewe live today as if there is no tommorow...
ikifika umefikia huo umri mkubwa,then utajua nini cha kufanya huko kwa huko....
you will b suprised,mkeo hamu yake naye ika cease....
mwili nao una njia yake ya kujiadjust,kama ipo utataka kama haipo hautataka!...:twitch:

pauline - great thanks
 
Kwa mwanaume kuwa na umri mkubwa si tatizo, nguvu za tendo la ndoa zitakuwa palepale na uzuri tayari mna watoto wenu wawili, shida ingekuwa kwa mwanamke kama angekuwa mkubwa yeye. Labda sijajua wasiwasi wako wewe upo kwenye nini hasa. Hongereni kwa kupendana maana siku hizi ni wachache wapendanao kwa dhati, chocheeni muendelee kupendana.
 
Kwa mwanaume kuwa na umri mkubwa si tatizo, nguvu za tendo la ndoa zitakuwa palepale na uzuri tayari mna watoto wenu wawili, shida ingekuwa kwa mwanamke kama angekuwa mkubwa yeye. Labda sijajua wasiwasi wako wewe upo kwenye nini hasa. Hongereni kwa kupendana maana siku hizi ni wachache wapendanao kwa dhati, chocheeni muendelee kupendana.

thanks Remmy - hapo pamenipoza roho, kwa hiyo nitazidi kumpenda na kuondowa wasiwasi.
 
Ulikuwa wapi siku zote hizo??
Ushamzalisha ndo unafikiria hayo yote!!!
Wakati unamtaka ulikuwa hufikirii hayo yote??!!
 
Back
Top Bottom