Bawabu wa pili
Senior Member
- Nov 14, 2025
- 147
- 432
Jumuiya ya Mtakatifu Yohana Parokia ya Yombo Dovya Januari 27 iliungana na kushiriki zoezi la upandaji wa miti katika kata ya Makangalawe Wilayani Temeke ikiwa ni sehemu ya kumpongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano Dkt. Samia Suluhu Hassan katika siku yake ya kuzaliwa lakini Cha ajabu aliyeonekana sehemu ya Msafara wao Bi Agatha Yakobo baadae ilivuja Clip akionekana katika mazingira yakutengenezewa hoja ili aonekane si halisia katika dhehebu hilo bali ni mipango tu ya Watu
Kupitia Video hii hapa Mwanamama huyo anakiri kuwa alirekodiwa pasipo matakwa na anathibitisha walipewa vitisho li kutekeleza yote hayo.
Kupitia Video hii hapa Mwanamama huyo anakiri kuwa alirekodiwa pasipo matakwa na anathibitisha walipewa vitisho li kutekeleza yote hayo.