Afyeka nyeti zake, kisa MADEMU!

Afyeka nyeti zake, kisa MADEMU!

Herbalist Dr MziziMkavu

Platinum Member
Joined
Feb 3, 2009
Posts
43,113
Reaction score
34,953
425035_399633796720217_105262393_n.jpg


Kijana Priva Elian wa Rombo mkoani Kilimanjaro, amefyeka sehemu zake za siri na kuziondoa, kwa kile kilichoelezwa kuwa ni kugombaniwa na wanawake wawili.

Baadhi ya mashuhuda wa tukio hilo, walidai kijana huyo alifikia uamuzi huo baada ya wanawake wawili kumgombea.

Walidai kuwa alifikia uamuzi huo Februari 27, mwaka huu saa 1:30 asubuhi baada ya kupandwa na ghadhabu kutokana na usumbufu mwingi aliokuwa akiupata kutoka kwa wanawake hao.

Walieleza kuwa mara baada ya kuchukua uamuzi huo, alimwita mdogo wake ambaye hakutambulika jina na kumweleza kuwa achukue viungo hivyo na kuwapelekea wanawake hao ili wavigombee.

“Hatujui alitumia kifaa gani kujifyeka kwani kinaonesha ni kikali sana, kwani baada ya kukata sehemu hizo nyeti, alimpa mdogo wake ili awapelekee wanawake hao kwani ndicho kitu muhimu kwao na siyo yeye,” alisema mmoja wa mashuhuda wa tukio hilo la kusikitisha.
 
Dah kwa hiyo jamaa ameamua ale pumba lakini badae atajuta na kutokwa udenda hadharani kama mbwa mwenye kichaa,hiyo kitu noma wadugu..
 
  • Thanks
Reactions: awp
eeeh bhana eeeh hii balaaa.......!
Alishapata uzao kweli.......!
Watu wengine wana pepo wabaya sana........!
 
Hii ndo First Class Insanity......kwa hiyo jamaa si wa kiume tena,na sio wa kike,na sio shoga.tumwiteje?
 
Mkuu Kashesho, shetani mwenye nguvu ni hao wanawake au jamaa?
 
Mangi, walikua wanagombania duka sio hiyo kitu uliyokata ati!
 
Back
Top Bottom