Phillemon Mikael
Platinum Member
- Nov 5, 2006
- 10,590
- 8,726
nimesema mara nyingi hapa kuwa huyu mzee tra walimgeuka.Sababu hasa ya kusumbuliwa mbali na hiyo ya IPP Media ni zipi?
Hii taarifa yako imejikita katika kutafuta manufaa kisiasa, Wewe ni mhuni na mgonjwa wa siasa kwako kila tukio ni fursa ya kufanya politics.Maneno mengi yanaongelewa Lakini ukweli ni kuwa stroke ya kwanza iliyoyumbisha afya ya Mzee ilitokea mwaka 2017 kwa sababu kuu mbili , kama mnakumbuka nikipindi hicho wafanyabiashara wengi akiwamo Mzee Bakhressa walipata msukosuko yeye akiwa mmoja wao , na wengine kama Mzee Mellou Mrema nk
Yeye pia alipata usumbufu Sana kwenye biashara zake ikiyopelekea kufunga migodi yake .
Zaidi yeye aliendelea kundamwa kutokana na kuwa na IPP Media ambayo ilikua imejikita kwenye utoaji habari bila kuogopa hii ilinsababishia usumbufu mkubwa Sana hata wa kupigiwa simu na kufokewa pale vyombo hivyo vilipoandika habari ambayo haikupendeza wakubwa
Ilumbukwe wako wafanyabiashara wengi wamekua wakipitia wakati mgumu sana wengine wako ndani ; wamefilisika; wanejiuwa; wana stroke na wamehama nchi au kuacha biashara .Tuwaombeee wote
Mungu ampe pumziko la Milele Amina
awamu hii imewatesa wengi sanaMaccm ndo yalimuharras mzee mpaka yakawa yanamzomea pale lumumba bashite nae akamtuhumu kua haonekani kwa itv miaka mingi bas ikawa hofu tupu itv mpaka kuna kipind kwa uoga tu wakajipiga ban wenyewe kisa walitoa taarifa ya kumkosoa jiwe ccm ni mashetani kabisa
Alaaniwe Kikwete aliyetuachia janga hili. Hivi kweli nchi hii tukikosa watu wenye akili timamu kuiongoza?Maneno mengi yanaongelewa Lakini ukweli ni kuwa stroke ya kwanza iliyoyumbisha afya ya Mzee ilitokea mwaka 2017 kwa sababu kuu mbili , kama mnakumbuka nikipindi hicho wafanyabiashara wengi akiwamo Mzee Bakhressa walipata msukosuko yeye akiwa mmoja wao , na wengine kama Mzee Mellou Mrema nk
Yeye pia alipata usumbufu Sana kwenye biashara zake ikiyopelekea kufunga migodi yake .
Zaidi yeye aliendelea kundamwa kutokana na kuwa na IPP Media ambayo ilikua imejikita kwenye utoaji habari bila kuogopa hii ilinsababishia usumbufu mkubwa Sana hata wa kupigiwa simu na kufokewa pale vyombo hivyo vilipoandika habari ambayo haikupendeza wakubwa
Ilumbukwe wako wafanyabiashara wengi wamekua wakipitia wakati mgumu sana wengine wako ndani ; wamefilisika; wanejiuwa; wana stroke na wamehama nchi au kuacha biashara .Tuwaombeee wote
Mungu ampe pumziko la Milele Amina
nimesema mara nyingi hapa kuwa huyu mzee tra walimgeuka.
aliingiza mitambo ya kisasa ya kuchakata habari na kwa vile ilikuwa ya gharama kubwa alikubakiana na tra awalipe kodi kwa awamu huku akiendelea kutumia.
Kilichotokea;
1. Alikuta moja ya mtambo ameingizwa mjini, hauna kiwango alichokusudia
2. Tra walimvamia na kumtaka alipe zote la sivyo wanauza mitambo yote.
Ndipo alipatwa na mshtuko kiasi cha kupata stroke.
Mkuu kila kiumbe kitaonja mauti,unataka kusema chanzo chake ni tawala zetu?Maneno mengi yanaongelewa Lakini ukweli ni kuwa stroke ya kwanza iliyoyumbisha afya ya Mzee ilitokea mwaka 2017 kwa sababu kuu mbili , kama mnakumbuka nikipindi hicho wafanyabiashara wengi akiwamo Mzee Bakhressa walipata msukosuko yeye akiwa mmoja wao , na wengine kama Mzee Mellou Mrema nk
Yeye pia alipata usumbufu Sana kwenye biashara zake ikiyopelekea kufunga migodi yake .
Zaidi yeye aliendelea kundamwa kutokana na kuwa na IPP Media ambayo ilikua imejikita kwenye utoaji habari bila kuogopa hii ilinsababishia usumbufu mkubwa Sana hata wa kupigiwa simu na kufokewa pale vyombo hivyo vilipoandika habari ambayo haikupendeza wakubwa
Ilumbukwe wako wafanyabiashara wengi wamekua wakipitia wakati mgumu sana wengine wako ndani ; wamefilisika; wanejiuwa; wana stroke na wamehama nchi au kuacha biashara .Tuwaombeee wote
Mungu ampe pumziko la Milele Amina
Hawa jamaa ni wapuuzi sana.Hii taarifa yako imejikita katika kutafuta manufaa kisiasa, Wewe ni mhuni na mgonjwa wa siasa kwako kila tukio ni fursa ya kufanya politics.
Hebu acha watu waomboleze na wamzike mzee wao kwani alotenda kwa familia, jamii na nchi ni makubwa na yanaongea yenyewe. Hatutaki taarifa za kuumba umba hapa ziondoe watu kwenye maombolezo
Endeleeni kuona awamu hii ina la maana wakati wanaofaidi ni BASHITE Na BABA YAKE. We tembea kwenye daladala wakati BASHITE na Infiniti 80 halafu sema kuwa tunabana matumizi.R.I.P. Sasa walizoea ujanja ujanja awam hii sio.Inabidi wapige moyo konde otherwise watakufa wengi.
Ngoja ushuhudie maneno ya unafki msibani leo na alhamisi.
Sasa mgonjwa wa stroke umpeleke Zanzibar wiki hii wiki ijayo Dubai. Kuanguka akiwa peke yake ilhali yeye ni married man tena yuko holiday na mkewe.
Halina akili hilo yeye maskini kazi kushabikia ujingaEndeleeni kuona awamu hii ina la maana wakati wanaofaidi ni BASHITE Na BABA YAKE. We tembea kwenye daladala wakati BASHITE na Infiniti 80 halafu sema kuwa tunabana matumizi.