Katika kampeni zake uchaguzi wa 2010 Maalim SEIF alikuwa akisema Kuwa Hospitali ya Mnazi MMOJA zanzibar iko katika hali mbaya kwa sababu viongozi wa nchi ya Zanzibar hawatibiwi pale wanatibiwa nje ya nchi.Akasema kuwa yeye akichaguliwa kamwe na asilani haji kukubali kwenda kutibiwa nje ya nchi yeyote.Atatibiwa Mnazi mmoja wanakotibiwa wazanzibari wengi wa kawaida.
Mungu si Athumani wananchi wakampa kura akateuliwa kuwa makamu wa kwanza wa Raisi wa Zanzibar.Alipopata umakamu wa Raisi tu huyo akatimuka india kwenda kufanyiwa Medical CHECKUP.Aliporudi akaulizwa na waandishi wa habari haya kulikoni mwenzetu mbona ulisema hutakubali kwenda hospitali nje? Akajibu kuwa yeye kakuta taratibu hiyo ipo ya viongozi wakuu kutibiwa nje.Anaenda kule kwa mujibu wa huo utaratibu ambao kaukuta.Lile la kusema sitakubali kalitupa kwenye kilindi cha bahari kule pemba.
Toka wakati huo ni yeye na matibabu nje ya nchi.Hospitali ya Mnazi mmoja kuboreshwa ni ndoto ya mwendawazimu.
Swali lile lile linaendelea ni lini Maalim SEIF atatibiwa Hospitali ya Mnazi mmoja zanzibar.Ni swali ambalo labda waandishi wa habari wamuulize Seif Sharrif Hammad.
Ila Lumumba bwana!! Ya Maalim Seif ndio inakwamisha uboreshwaji wa Mnazi moja hospital, MTU asiye na dola???????????!!!
Akiwa rais kamili tutaioboresha na kusomesha zaid madaktari wetu...sasa hivi ccm ndio wanaongoza nchi na hawajui wafanye nini wameishiwa fikra wao wapo kwenye uchotara na uhizbu tu.hayo ndio wanayo yajua.Katika kampeni zake uchaguzi wa 2010 Maalim SEIF alikuwa akisema Kuwa Hospitali ya Mnazi MMOJA zanzibar iko katika hali mbaya kwa sababu viongozi wa nchi ya Zanzibar hawatibiwi pale wanatibiwa nje ya nchi.Akasema kuwa yeye akichaguliwa kamwe na asilani haji kukubali kwenda kutibiwa nje ya nchi yeyote.Atatibiwa Mnazi mmoja wanakotibiwa wazanzibari wengi wa kawaida.
Mungu si Athumani wananchi wakampa kura akateuliwa kuwa makamu wa kwanza wa Raisi wa Zanzibar.Alipopata umakamu wa Raisi tu huyo akatimuka india kwenda kufanyiwa Medical CHECKUP.Aliporudi akaulizwa na waandishi wa habari haya kulikoni mwenzetu mbona ulisema hutakubali kwenda hospitali nje? Akajibu kuwa yeye kakuta taratibu hiyo ipo ya viongozi wakuu kutibiwa nje.Anaenda kule kwa mujibu wa huo utaratibu ambao kaukuta.Lile la kusema sitakubali kalitupa kwenye kilindi cha bahari kule pemba.
Toka wakati huo ni yeye na matibabu nje ya nchi.Hospitali ya Mnazi mmoja kuboreshwa ni ndoto ya mwendawazimu.
Swali lile lile linaendelea ni lini Maalim SEIF atatibiwa Hospitali ya Mnazi mmoja zanzibar.Ni swali ambalo labda waandishi wa habari wamuulize Seif Sharrif Hammad.
Hii Thread sijaielewa, inazungumzia Maalim ni Mgonjwa au inazungumzia Maalim kujisahau wakati wa uongozi wake nakushindwa kuiboresha hospitali ya mnazi mmoja??? naona heading nyengine maelezo ndani ni mengine.
Sasa hapo unamlaumu nani maalim seif hau serikali ya CCM ambayo ndo inakusanya kodi? Ambayo ilani yake ndo inatumika Zanzibar!Katika kampeni zake uchaguzi wa 2010 Maalim SEIF alikuwa akisema Kuwa Hospitali ya Mnazi MMOJA zanzibar iko katika hali mbaya kwa sababu viongozi wa nchi ya Zanzibar hawatibiwi pale wanatibiwa nje ya nchi.Akasema kuwa yeye akichaguliwa kamwe na asilani haji kukubali kwenda kutibiwa nje ya nchi yeyote.Atatibiwa Mnazi mmoja wanakotibiwa wazanzibari wengi wa kawaida.
Mungu si Athumani wananchi wakampa kura akateuliwa kuwa makamu wa kwanza wa Raisi wa Zanzibar.Alipopata umakamu wa Raisi tu huyo akatimuka india kwenda kufanyiwa Medical CHECKUP.Aliporudi akaulizwa na waandishi wa habari haya kulikoni mwenzetu mbona ulisema hutakubali kwenda hospitali nje? Akajibu kuwa yeye kakuta taratibu hiyo ipo ya viongozi wakuu kutibiwa nje.Anaenda kule kwa mujibu wa huo utaratibu ambao kaukuta.Lile la kusema sitakubali kalitupa kwenye kilindi cha bahari kule pemba.
Toka wakati huo ni yeye na matibabu nje ya nchi.Hospitali ya Mnazi mmoja kuboreshwa ni ndoto ya mwendawazimu.
Swali lile lile linaendelea ni lini Maalim SEIF atatibiwa Hospitali ya Mnazi mmoja zanzibar.Ni swali ambalo labda waandishi wa habari wamuulize Seif Sharrif Hammad.
Ndiyo. Unadhani sasa hivi ni salama kwa Maalim kwenda kutibiwa au kucheki afya yake pale Mnazi Mmoja hospital Zanzibar au Muhimbili? Hapana. Hata akiitwa Ikulu ni mwiko kunywa hata maji kwa usalama wake.Check-up Ulaya
Kazi kweli kweli!Kumbe ni uhuru, sawa tumeliona