Afya ya Lowassa yaimarika baada ya kuhamia CHADEMA

Huyu Mzee na magonjwa gonjwa yake ipo siku atadondokaa jukwaani PUUUUUU chali na hapo ndio itakuwa mwisho wa UKAWA....we dnt pray for that but that's most likely to happen
Kama kik2ete pale uwanja wa jangwani.


swissme
 
Nafurahi kusikia hii habari, maamuzi yako magumu yamekuokoa baba Lowassa maana magonjwa mengi yalikua yanakunyemelea kutokana na stress.
Pole sana kwa marafiki wanafiki waliokutosa...
Hakuna kitu muhimu kama furaha ya moyo, hata ukiwa na pesa kiasi gani ila ukikosa furaha ni hasara.
 
Dawa ya ule ugonjwa wale ni Dozi ya urais kwa miaka 5 tu
 
Ccm ni mashetani walikuwa wana muuzi sana mzee wetu adi anashindwa kula mungu ni mwema lazima atakuwa poa sana siku zinavyo kwenda
Kabisa mkuu, Mungu ni mwema kwa kumpa mzee wa watu mwanga la sivyo tungempoteza hivihivi.
 
Na jana nasikia kibarua cha yule daktari wake kutoka majuu kimeota nyasi
 


Peoples.... Power!!!
 
Wale wote wenye shida na mje kwangu nami nitawapumzisha"bibilia takatifu"
Mzee EL kwenda Ukawa ni mapumziko tosha ya shida zake na maradhi yote
Yupo salama salimini kwa sasa!
 

Makamanda ni watu wa mazoezi... Mwendo wao ni mchaka mchaka...
 
kiukweli hata mi nimetazama hapa itv naona jamaa kaimarika. si sawa na juzi alipokuwa anakaribishwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…