Naipendatz
JF-Expert Member
- Jul 27, 2011
- 5,091
- 8,243
Vp mkuu?Duuu,,, we jamaaa
Na chama chenu kimuulize mama Ngina kama sasa machezos yako sawa tena.Yaani mzee kawa strong ghafla, magamba walikuwa wanampa stress sana Lwaigwanan Mkuu
Na chama chenu kimuulize mama Ngina kama sasa machezos yako sawa tena.
Mkuu magamba wachawi sana wakiongozwa na kiongozi waoMembe alikuwa anamloga, January alikuwa anamloga, Sita kigagula nae alikuwa anakoleza, Mganga Njeleja nae alikuwa moto ... Yaani magwiji wa kusafiri kwa Fisi akina Nchemba walikuwa bize kwa waganga balaa ...
Mkuu msiogope, Lwaigwanan ameshawasamehe 7 mara 70Inabidi tuwe makini sana katika uteuzi wa mgombea mwenza wa mamvi, Kuna uwezekano Mkubwa ye Ndo Muda mwingi atakuwa anatake presidential responsibilities wakati mkuu akiwa ujerumani hospital
Mkuu usipanickHehehe amakweli kipenda roho hula nyama mbichi
Mkuu msiogope, Lwaigwanan ameshawasamehe 7 mara 70