Afya ya Kikwete bado yatatiza: Cheche Toleo la 46

Asante sana mzee mwanakijiji kwa kijarida hiki. Itabidi tutafute mawakala wa kukisambaza vijijini ili hizi fikra za kimapinduzi zifike huko nako.
 
nimedownload mzee.
nasoma na kukisoma na kukisoma.
nagombana na wewe kwa kuwa umekataa katuni zangu kutumika ktk kijarida chako (hehe)
 
Asante sana mzee mwanakijiji kwa kijarida hiki. Itabidi tutafute mawakala wa kukisambaza vijijini ili hizi fikra za kimapinduzi zifike huko nako.
Nina wasiwasi huko vijijini kwa jinsi maisha yalivyo magumu watakosa muda wa kusoma!
 
Hongera Mwanakijiji kijarida hiki ni njia mmoja mbadala ya kupeleka ujumbe kwa wasomaji,hakimchoshi msomaji,lugha ni nypesi.
 
Kurasa tatu zote za gazeti halina any point zaidi ya kuzungumzia vitu ambavyo tumeshavisoma. Kama madactari wa Rais washasema Rais yupo ktk hali nzuri, I believe we should trust them. Let's discuss other issues.
 
Mkuu Mwkjj heshima mbele,

Mbona habari yenyewe ni yaleyale tuliyoona na kuambiwa au kuna jambo jingine halijasemwa? nakumbuka wakati wa kampeni za 2005 kwenye ukumbi wa BCS mjadala wa afya ya JK ulikuwa tofauti kabisa na haya ya sasa.
 
Tiba ya magonjwa kama haya ninini? Mi naona kama inaleta aibu kuona hali kama hiyo inatokea kwa kiongozi wa juu wa Taifa.​
 
Mwanakijiji,

Hiki kigazeti chako kinanipa raha sana, kwani unazungumzia vitu vikubwa kwa lugha nyepesi.
 
Kama CCM wanarudia mambo yale yale kutoa msisito wa jinsi gani wanahangaika kuliongoza taifa si vibaya nasi tukawakumbusha kuhusu yale yale ili nasi tuweke msisitizo.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…