Afya ya Dr. Ulimboka Yaimarika, Kutua Nchini August

spencer

JF-Expert Member
Nov 25, 2010
3,599
3,220
GreaTthinkers,
Habari hii ni njema na nyeti sana,
Dk Ulimboka afya yake inaendelea vizuri, uwezekano wa kuruhusiwa august ni mkubwa ila hatarusiwa kufanya kazi kwa miezi sita. baada ya hapo atarejea hospitali kwa uchunguzi tena.

''Nikirudi nyumbani nitaongea na waandishi wa habari kila mtu asikie,siogopi kufa mara ya pili. Cha msingi kila mtu aelewe kilichotokea''

Please naomba ulinzi uimarishwe, wasije wakamdhuru dk anayepigania huduma bora hospital likiwemo kina mama wajawazito wasilale wanne ktk kitanda kimoja.


Thanks
Spencer@Boksburg(SA)
 
Mungu ni mkubwa, aliyehusika natamani naye ang'olewe meno bila Ganzi:israel:
 
Habari njema sana hii! The recovery of Dr. Ulimboka is the victory of people!!
 
Umofia kwenu all igwe,habari njema hii,Spencer imarisheni ulinzi huko SA na pia dose yeyote anayopewa lazima nyie wote muhiakiki! Kova Zoka msangi Side mnyamwezi imekula kwenu
 
Dr. ulimboka mungu akujalie afya njema na urudi kuendeleza harakati. ninajua Dr. akirudi yeye ndiye atakae thibitishia umma kwamba aliyejisalimsha na kutaka kutubu ni miongoni wa waliomteka ama siye. kwani naaminialiwaona wote.
 
Back
Top Bottom