sifongo
JF-Expert Member
- Jun 5, 2011
- 4,895
- 5,308
hakika mungu ni mkubwa jamani!
Asiyemwamini ameumia!
ccm wote hawamwamini..
hakika mungu ni mkubwa jamani!
Asiyemwamini ameumia!
nimeattach picha ya ACP msangi
Hah...?!!democrasia tena?kumbe ilikuwa ni mambo ya siasa.
Kama ndivo,nawahurumia family yake na watoto KWANI KAINGIA KWENYE MCHEZO WA HATARI.
THE STAKE ENVOLVED HERE IS TOO HIGH.