Kwa hiyo wewe ndo umeona una akili kwa jibu hili. Shame on you!!!JIBU JEPESI KWENYE SWALI GUMU UTAKUWA NZI WA KIJANI TU WEWE NDO AKILI ZENU HUWA HAMNA AKILI KABISA
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji12] [emoji12] [emoji85] [emoji40]Bora hata huyo anasikiliza ushauri wa mke wake, yupo mmoja hivi yeye hasikii la mtu yeye anaendeshwa na mizuka yake tu 😀😀
[emoji23] [emoji12] Yupi huyo?! [emoji85] [emoji40]Hivi kati ya Mugabe na "Huyu" nani bora?
Sasa ni dhahiri akili ya Rais wa Zimbabwe Robert Mugabe anayekaribia miaka 100 tangu kuzaliwa kwake imepungua , nadhani ni kutokana na umri mkubwa na maradhi ya uzee yanayomuandama.
Kitendo chake cha kusikiliza ushauri wa mke wake na kumtimua kazi Makamu wake wa Urais Mnangagwa si tu kinadhalilisha Zimbabwe na Africa nzima , bali kinawadhalilisha watu wote weusi popote walipo duniani .
Haiwezekani nchi yenye watu wasomi kama Zimbabwe kukubali kuendelea kuongozwa na mtu mwenye dalili za ugonjwa wa akili kama Mugabe , huyu mzee anatakiwa kung'olewa madarakani kwa njia ya amani ili kuepusha aibu zaidi kwa waafrika .
............................................................
Updates - Aliyekuwa Makamu wa Rais wa Zimbabwe amekimbia nchi hiyo kwa kuhofia usalama wake .
Wanajiatmbua nini badala ya kumkabili wanakimbia??Wasomi na wanaojitambua wengi hawaishi Zimbabwe. Wanamchukia mzee kuliko maelezo
Mkuu, Sasa si ndio wanakula chakula pamoja mezani na Mugabe.Zimbabwe inaongozwa na wapigania uhuru hasa wanajeshi. Mugabe ni boya tu pale.
Mkuu.Wanajiatmbua nini badala ya kumkabili wanakimbia??
Hebu nitajie towauti iliyopo kati ya wananchi wa Tanzania, Zimbabwe na Uganda?
Well said. Huo ndiyo ukweli wenyeweWote ni wabinafsi akiwa na helaya mboga hata akae nyani state house wao hayawahusu
Sasa ni dhahiri akili ya Rais wa Zimbabwe Robert Mugabe anayekaribia miaka 100 tangu kuzaliwa kwake imepungua , nadhani ni kutokana na umri mkubwa na maradhi ya uzee yanayomuandama.
Kitendo chake cha kusikiliza ushauri wa mke wake na kumtimua kazi Makamu wake wa Urais Mnangagwa si tu kinadhalilisha Zimbabwe na Africa nzima , bali kinawadhalilisha watu wote weusi popote walipo duniani .
Haiwezekani nchi yenye watu wasomi kama Zimbabwe kukubali kuendelea kuongozwa na mtu mwenye dalili za ugonjwa wa akili kama Mugabe , huyu mzee anatakiwa kung'olewa madarakani kwa njia ya amani ili kuepusha aibu zaidi kwa waafrika .
............................................................
Updates - Aliyekuwa Makamu wa Rais wa Zimbabwe amekimbia nchi hiyo kwa kuhofia usalama wake .
Andiko lako limenifanya nijute kuzaliwa mwafrica !Ndugu yangu japo nakubaliana na ww 100% lakini ujue waafrica wengi bado wapo kwenye evolution toka unyani nyani kuwa viumbe wanadamu wenye akili timamu wenye kuweza kufikiri sawa sawa.
Ukishangaa ya Mugabe itabidi ushangae hata ya huyu hapa kwetu maana mugabe anayoyafanya yanasababisha na umri wake. Huyu hapa kwetu yanasababishwa na nn?
Evolution kwa waafrica wengi itakamilika miaka 200 ijayo. Kwa sasa tuendelee kuvumilia