Siku hizi kuna Kozi ya mwaka mmoja (semester mbili ) inaitwa Medicine dispensing. Nadhani inaenda kureplace mafunzo ya ADDO. Mafunzo ya ADDO yanachukua muda mfupi Kitu kinachopelekea mhitimu kuwa na uelewa mdogo sana .
Lakini bado hayajafutwa rasmi. Kwahiyo endelea kusubiri mkuu