Imagin sijui mama huyo au dada jinsi alivyonenepeana ovyo , je mafuriko kama yaliyotokea Dsm angesalimika?
Bt jibu unalo mwenyewe. Sawa mwili unajengwa kwa chakula bora, lakini huyo kazidi sana. Kwanza mazoezi yenye hafanyi halafu anakula kama yuko mashindanoni.