Afwandeeee

Enzi za Mjerumani na mwingereza walikuwa na standard height ya kujiunga na jeshi na polisi. Vinyundo walikuwa wanasikia kazi hizi kwenye bomba.
Walipangawa kazi nyingine [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Kama???? Kupanda miti au kuwa runners? Unakumbuka hiki cheo JKT wakati wa vita bandia tulikuwa na ma runners wa kuleta ushushushu?
Haswaa tuliwaita sniffers
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…