Afute na mapenzi!

Red Scorpion

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2012
Posts
5,736
Reaction score
4,255
Futa mapenzi
 

Attachments

  • 1448366286401.jpg
    19.9 KB · Views: 607
Hahaha! Adhawais yanaweza tokea mashambulio katika moyo nikaresti in piis?



Sasa unaleta utani!

Umeshajua msimamo wa Rais Magufuli kuhusu mustakabali wa taifa hivyo ni jukumu letu wananchi kumpa ushirikiano ikiwa pamoja na kukemea matumizi mabovu ya fedha za umma.

Rais Magufuli kama kiongozi mkuu wa nchi ametuonyesha kwa vitendo kwamba inawezekana kupata maendeleo ikiwa tutadhibiti matumizi ya fedha yasiyokuwa ya lazima.

Jamani watanzania wenzangu tupo nyuma sana kimaendeleo kama Tanzania na hata tukijilinganisha na nchi zingine ukilinganisha rasilimali tunazomiliki ndani ya ardhi yetu.

Tumpe ushirikiano Rais Magufuli,wengi wetu tulitaka tupate Rais wa jinsi hii na Mungu amesikiliza maombi yetu.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…