Hongera zake kwa kuonyesha msimamo hata mwisho. Hata kwenye Bible kina Shedrack walitupwa kwenye tanuru la moto kwa kukataa kuabudu Miungu feki, na Bwana wao aliwaokoa.
Waliomshamishi wanasemaje? Msimamo wa kijinga. Shedrack alikataa miungu feki, huyo aliyefungwa naye kakataa kitu gani feki? Mbona kakiri kosa?Hongera zake kwa kuonyesha msimamo hata mwisho. Hata kwenye Bible kina Shedrack walitupwa kwenye tanuru la moto kwa kukataa kuabudu Miungu feki, na Bwana wao aliwaokoa.
mkazi mmoja wa mkoa uliopo katika kanda ya ziwa amehukumiwa kwenda jela miezi mitatu kwa kukataa kuhesabiwa katika zoezi la sensa linaloendelea nchini tanzania.mkazi huyo alikataa kujibu maswali ya dodoso la sensa ya watu na makazi kwa kuwa hakuna kipengele kinachouliza dini!mbele ya hakimu wa mahakama,mkazi huyo alikiri kosa hilo,hakimu alimhukumu kifungo cha miezi 3!
Source:matukio radio free africa-(29/08/12)
loh! Kisa cha kunyea debe?
huu ni uonevu mtaani kwangu kuna watu wengi tu wamekataa kuhesabiwa wao na familia zao lakini hawajachukuliwa hatua..
huu ni uonevu mtaani kwangu kuna watu wengi tu wamekataa kuhesabiwa wao na familia zao lakini hawajachukuliwa hatua..
Wewe mbona hukufungwa kama yeye??
Waliomshamishi wanasemaje? Msimamo wa kijinga. Shedrack alikataa miungu feki, huyo aliyefungwa naye kakataa kitu gani feki? Mbona kakiri kosa?
vipi mkuu,kama ukisema kifungu gani cha sheria alichotumia jaj kutoa hukumu hiyo ili nikijue nkatoe elimu kwa maboya fulani hivi wanaobishi et hakunaga sheria ka hiyo!MSAADA PLEASE!Mkazi mmoja wa mkoa uliopo katika kanda ya ziwa amehukumiwa kwenda jela miezi mitatu kwa kukataa kuhesabiwa katika zoezi la sensa linaloendelea nchini Tanzania.Mkazi huyo alikataa kujibu maswali ya dodoso la sensa ya watu na makazi kwa kuwa hakuna kipengele kinachouliza Dini!Mbele ya Hakimu wa mahakama,mkazi huyo alikiri kosa hilo,hakimu alimhukumu kifungo cha miezi 3! SOURCE:Matukio Radio Free Africa-(29/08/12)