Afunga ndoa na Wanawake wawili tofauti na kwenda nao Honeymoon

Wanaume wa sikuhizi bwana. ...wanakula chips mayai halafu wanaoa wake wawili acha wasaidiwe
 
Kuchepuka na mke wa mtu inabidi uwe mjanja na kama mwanamke anaelewa xana show huwa hawajali sana kuhusu waume zao wanawadharau na kuwachukulia poa anaweza kukuita hata nyumbani kwake ukamsuuze bila kujali, wakati huo mumewe anamuona kama fala tu na wewe kama ndio boyaboya utajiona mjanja kumuwekea mchizi kumbe ndio unajiweka kwenye hatari kwenye mazingira kama hayo Tatizo kujisahau tu
Hapo ni hao wake zake watatfute michepuko nje kwa pamoja ili wakitoka wanatoka wote jamaa halitashtukia.
 
Binafsi sioni ajabu km wahusika wapo pamoja na hakuna tatizo ni jambo la kawaida tu kwenye maisha.
 
Hao wanawake wenyewe nasikia ni maji ya mdimu kina ellen na ni marafiki wakubwa kwa hiyo hakuna shida jamaa akiwa hayupo wenyewe wanamalizana
 
Back
Top Bottom