Afukuzwa uchungaji kwa kuwapa mimba waumini

Reucherau

JF-Expert Member
Nov 26, 2014
756
1,740
Afukuzwa uchungaji kwa kuwapa mimba waumini

Akizungumza na mwandishi wetu baada ya kikao cha ngazi za juu za kanisa hilo kilichofanyika juzi, Askofu mkuu wa kanisa hilo, Herryabwana Majebele alisema amemsimamisha kazi mchungaji huyo kwa kuwa amechafua kanisa la bwana.

Soma zaidi: http://www.mwananchi.co.tz/…/1597578-3828040-11r…/index.html

Mchungaji wa Kanisa la Ufufuo na Uzima lililopo katika Kijiji cha Bukondo, Peter Msopela amefukuzwa kazi hiyo baada ya kukiri kuwapa mimba waumini wake wawili katika kipindi cha mwaka mmoja.
mwananchi.co.tz
 
Kaazi kweli kweli!
 
mchungaji kula mifugo yake ni sawa itakuaje anunue nyama wakati nyama Anayo ndani je wewe utaweza????
 
Makanisa haya ya kiushikaji ndivyo yalivyo....subirini mje kuona maajabu ya makanisa ya Ney wa Mitego na Irene Uwoya yatakavyokuwa. Mtakuja kuniambia wenyewe, nasubiri tu.
 
Angefanya ostadh wa madrasa...ingewekwa mbele ya gazeti kwa herufi kubwa..na bado mtahadhirika sana!
 
Ufufuo na Uzima? Si la Gwaji hili kanisa jamani? Naye si alikula kondoo wake mpaka akavunja ndoa ya muumini wake? Haya makanisa mengine ni kazi kweli kweli!! Ila huyo mchungaji asifukuzwe kazi maana amekopi na kupesti kutoka kwa baba askofu wake!!
 
Afukuzwa uchungaji kwa kuwapa mimba waumini

Akizungumza na mwandishi wetu baada ya kikao cha ngazi za juu za kanisa hilo kilichofanyika juzi, Askofu mkuu wa kanisa hilo, Herryabwana Majebele alisema amemsimamisha kazi mchungaji huyo kwa kuwa amechafua kanisa la bwana.

Soma zaidi: http://www.mwananchi.co.tz/…/1597578-3828040-11r…/index.html

Afukuzwa uchungaji kwa kuwapa mimba waumini
Mchungaji wa Kanisa la Ufufuo na Uzima lililopo katika Kijiji cha Bukondo, Peter Msopela amefukuzwa kazi hiyo baada ya kukiri kuwapa mimba waumini wake wawili katika kipindi cha mwaka mmoja.
mwananchi.co.tz
mwendo wakutafuna tu kondoo, afu nae alikua anawaajibisha waumini waliokua wanaenda nje ya utaratibu wa kanisa kumbe anatafuna mifupa laini tu
 
Daah! Na hao wawili ndo wamebeba mimba! Sijui kawagegeda wangapi humo!!! Wachungaji wengine hasara tu!
 
Mambo mengine yanachekesha sana,

Sasa mchunga kondoo njaa imemshika kaamua
kuanza kula kondoo mmoja mmoja
 
Unatakiwa kuelewa kuwa
magugu na ngano lazima zikuwe pamoja
Mungu amweka wazi Leo huyo ameumbuka.
 
Back
Top Bottom