After he is gone, then what?

Hivi naomba tu unijibu kiungwana,kiwango Cha ujangili,biashara ya madawa ya kulevya,kiwango Cha rushwa etc ni same Kama utawala uliopita?hivi unajua kuwa inawezekana huko mbugani tembo siku hizi hata sherehe wanafanya?hamna maendeleo yoyote kwenye miundombinu,afya,nishati etc?tukubali tu kuwa pamoja na mapungufu ya jamaa lakini Kuna mabadiliko makubwa Sana katika kipindi hiki Cha miaka minne iliyopita.what I like the most about huyu jamaa ni kuwa anatulazimisha kuishi katika uhalisia wa maisha tunayostahili na sio fake life.no matter tunapiga kelele kwa kiwango gani yeye anatupeleka katika njia tunayostahili.watanzania ni watu lazy,wavivu wa kupindukia,wazembe ambao hawataki kupambana kuishi Bali ni watu wanaopenda kuishi kijanjajanja.napendaga Sana anaposema amejitoa sadaka kwa sababu ni kweli,kipindi atakapokuwa amestaafu tutakuja kupambana kwa kila namna kumdhalilisha lakini wakati huo akina zitto watakuwa na uhakika wa kuruka na ndege kwenda kigoma na kurudi same day na ndege alizopigania zinunuliwe,wapiga kura wake watakuwa wanakimbia na treni za Kasi kuja dar na kugeuza haina haha ya gharama za malazi Tena etc etc.tutamshambulia au hata kumfunga lakini akiwa ametuachia vitu tutakavyobaki daima kunitumia Kama nchi.i like him coz ni mtu anayesimamia anachokiamini,ana vision na angependa aondoke kukiwa na hatua kidogo Kama nchi tuwe tumepiga kuelekea.sio Kama jk ilikuwa anafanya kitu kelele zikizidi anakacha anaelekea kwingine wakipiga kelele anakacha ndio maana walichokuwa wanafanya wapinzani ni kupiga kelele kila ilipokuja issue yoyote ya kimaendeleo ili jamaa aachane nayo.hata Mimi swali la nyani ngabu limekuwa likinisumbua Sana lakini bado sijapata jibu lake,na naona watu siku hizi tunajadili mambo kwa kupelekwa na stress zetu binafsi kuliko uhalisia.but kwa kiwango chake uzi huu umenikumbusha enzi zile watu tunashindana kwa hoja humu ndani,enzi zile jf ilipokuwa jf kweli na sio siku hizi vitoto vinatumia hela ya kula shule kununua smartphone na kuja humu kutukana na kubwabwaja vitakavyo.
Karibu tena jamvini nyani ngabu,mambo yamebadilika Sana humu.
 
".....pernicious effects of unchecked venality".
 
All these loopholes are there because our constitution has alot of weakness, Changing some parts of our constitution is a MUST, but what i dont understand the BIG FISH of this country wont let that happen..
 
Everything will be even worse,I think we should change the constitution and alow him to be our president till the end of his life.

Your jocking right ?...HELL NO!!!, this nigger is arleady fucking up things, by the time he will be getting out that office we will be fucked up BIGTIME....TRUST ME only the beneficiaries of his regime are backing him up...
 
He is back and straight into butt spreading for ass kissing
You must be smoking something strong failing to see all the corrupt deeds and brutality to critics(criticise him and your ass is kidnapped or jaiiled)
 


Don't be limited to what you were taught at primary school level. There different types of verbs. The reason why I said "is" is verb due to the fact that it has been used as a link.

Did you know that there are normal verb regular verbs irelugal verbs linking verbs... etc.
 
Duu
 
Why did u choose complicated vocabularies like prof Lumumba???
I guess ur aim wasn't to let people know the purpose of ur thread rather how ur complicated English is.....

But good work...
 
are those institutions, anyway? What are they made of
Black people can never made strong institutions! Their thinking & planning are to get out of their family poverty and not upset with citizens poverty! I doubt always about these strong institutions people are talking!!
To put it simple, strong institutions are written in papers and its critical in strengthen public services, but in real sense its impossible to exist in African context!
 
What we want is for this tyrant to go and burn in hell!
 
Ni watu ndio wanaharibu.....
Labda katiba mpya ndio iwe solution....
Ila system kama system ipo..... yenye watu waovu

..kweli.

..KATIBA nzuri itasaidia.

..katiba ambayo ita-encourage na kulazimisha kila mtu kufuata sheria.

..hapa Tz katiba, sheria, na mifumo yetu, inajenga mazingira ya impunity.

..kuna wakati viongozi/wanasiasa wanatoa amri na maelekezo yanayokwenda kinyume na sheria na watendaji wanayatekeleza.
 
Bora umejitokeza maana tangu alivofariki Ephraim kibonde na wewe ukawa umepotea kabisa,
Tukaanza kuhisi kuwa huenda wewe ndiye Ephraim kibonde
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…