The Finest ,
Zawadi yako nono chumbani..
sina la kukwambia kwa sasa maana " I'm Speechless" ..
Thank you so much my dear friend...
Hello Rubani,
May all your dreams come true on this very special day.
I wish you good health, happiness, prosperity and love.
HAPPY BIRTHDAY RUBANI
Hili nililitegemea tu:lol::lol: wewe mzee unazeeka vibaya sanaMjukuu wangu mwaminifu na mpendwa wangu Afroie...
We ni shahidi yangu kwa kuwa unajua navyokupenda.
Mimi babu yako ODM nakutakia heri ya siku yako ya kuzaliwa. Mungu akujalie uishi maisha marefu na matamu zaidi. Akuongoze katika yote yaliyo mema. Adui zako wapate upofu watakapotaka kukudhuru. Ujaaliwe upate watoto wengi, waizunguke meza yako wakati wa chakula. Wakuzalie wajukuu na vitukuu.
zawadi yako toka kwa ODM ni; Mmmmmmwwwaaaah!
Karibu kitandani huku umpetipeti babu yako.
yani ulingojea ilipotimia sa sita tu ukairusha dah..........happy birthday afro d..
What more can i say on my way with a bottle of Jim Beam in my hand......:eyebrows:The Finest ,
Zawadi yako nono chumbani..
sina la kukwambia kwa sasa maana " I'm Speechless" ..
Thank you so much my dear friend...
hahahahahah Nimependa huo mpira wa rugby .. mwehhhhhh
Best present eveeeeeeeer...
Just for you The Finest .......
Naona unafunguka sasa...ruhusa ya nani huyo??
:lol::lol: Kongosho........Afrodenzi, hakuna zawadi kubwa kwa kijana kama kumwambia kwa kumaanisha
" You Naughty boy, go to my room"
Rejao duh...mmeishafika huko na Kongosho kwenye kupelekeana juisi...lolUsisahau kachumbari na juisi ya ukwaju!
Karibu kitandani huku umpetipeti babu yako.
happy b day Afrodenz...
how old are you now???????
you are always the one with
'full of positive energy'
dont change please....
Kwanini unabania kumtaja unakuwa kama Nkwengurila:juggle:Ha ha ha, hawa ntawala kwa ruhusa ya mtu mmoja tu!
Kwanini unabania kumtaja unakuwa kama Nkwengurila:juggle:
Zawadi yako ya birthday hii hapa hop you will enjoy!
The Simpsons - Mr. Burns On Ether
View attachment 41817
Naungana na wakuu wenzangu
ktk kusheherekea siku yako ya
kuzaliwa. MUNGU akupe umri
mtimilifu.
Hehehe!!! Haina kuuliza hiyo naona atatia maguu hapa muda si mrefu...lolAm blushing already
Sasa unangoja nini? Njoo basi..........😛oaBabu huwa hapetiwi na wajukuu, ni kumngóa ndevu tena zile zilizokuwa mvi
Mjukuu wangu mwaminifu na mpendwa wangu Afroie...
We ni shahidi yangu kwa kuwa unajua navyokupenda.
Mimi babu yako ODM nakutakia heri ya siku yako ya kuzaliwa. Mungu akujalie uishi maisha marefu na matamu zaidi. Akuongoze katika yote yaliyo mema. Adui zako wapate upofu watakapotaka kukudhuru. Ujaaliwe upate watoto wengi, waizunguke meza yako wakati wa chakula. Wakuzalie wajukuu na vitukuu.
zawadi yako toka kwa ODM ni; Mmmmmmwwwaaaah!
Karibu kitandani huku umpetipeti babu yako.
Sasa unangoja nini? Njoo basi..........😛oa