Afrika wake up! Naona tunalala tu

Afrika wake up! Naona tunalala tu

Mmoja wa watu maarufu duniani aliwahi kuziita nchi za Afrika "shithole countries".

Afrika ni "bara lenye giza" ama "dark continent". Whatever that means!

Afrika ni kama kichwa cha mwendawazimu! Kila "beberu" anayejifunza kunyoa hujifunzia Afrika.
 
Kuna baadhi ya vitu ukicheki tu unajiuliza: hivi hili lipo kweli au vipi?

Lakini ukichunguza kiundani kabisa unakuta halipo.

Naogopa kuandika mengi uku JamiiForums.

Ila nimejifunza mengi saana kuhusu hivi vita vya Urusi na Ukraine.

Kuna watu ambao hawataki wenzao kufanikiwa ili wabaki kuwa juu siku zote.

Na ukijaribu kusimama vizuri kwenye maeneo yako wanakupoteza na kukuchafulia jina.

Ukijua wewe wanajua wao ila wakijua wao wanajua wao tu.

Wanatengeneza njaa (magonjwa) kwao wana tutupia, halafu wanakuletea chakula (dawa) ili ununue wafaidike wao na uone kuwa wanajua zaidi.

Apa ndo nimeamini kuwa kumbe nyumbani kwetu sio kwamba hatunaga wababa bora ambao wanaweza kusimamia kidogo tulicho nacho.

Hili kukifanya kiwe kikubwa tunao. Ila kuna wale ambao wana vikubwa wanatamani ata kidogo chako kiwe chao ili wazidi kuwa na kikubwa zaidi wewe ukose au wakusaidia kwa kidogo walichokichukuwa nyumbani mwako.

Wakifanya wao sio kosa Ukifanya wewe ndo kosa, dunia hii. Mmmmmmmm Mungu saidia Africa tu!
Hawa ni hatari sana, tena sana. Hawa ni zaidi ya shetani, ukidhani ni wafadhili kumbe ni mashetani wanaofurahia ukianguka na wakichukia ukiwa na maendeleo.

Wakimbizi wakifa baharini kwa kukimbilia kwao, ndio furaha kwao. Mkifa na njaa ndio furaha kwao. Mkiingia kwenye wimbi la coruption ndio furaha kwao.

Wakija kwa jina la Demokrasia kama vile wanawapenda, kumbe nyoka hatari. Si rahisi kuwaona kwa macho ya kawaida au kuwatambua kwa kwa akili kama za akina mimi. Ni M Mungu tu ndio atawaumbua licha ya akili yao yote. One day yessssssss. Afrika amkeni.
 
Unatarajia UN waje wawatoe 100% kwenye hilo janga? Like seriously?
Kinachowashinda kusimama kwa miguu yenu mi nn?
UN imepoteza umaarufu wake. Soma alama za nyakati. Kwa Ufupi, 20% ya watu duniani (aka UN) ndio wenye VETO, Security council ambazo ndizo zina maamuzi juu maendeleo ya Dunia nzima. 80% ni mikia tu. Hii ndio UN unayoisifia wewe.

Mpaka sasa mijadala mikali inaendelea katika media na viongozi wa nchi mbali mbali kulijadili hilo. Tafadahali fuatilia mijadala hiyo uokote kitu hapo. Amka.

Mwisho: Hata siku moja UN haitatoa maamuzi ya kukuinua wewe uliyetawaliwa miaka na miaka. UN ipo na ilikwekwa kwa malengo maalum na ya kimkakati. Wengine mnapiga kura bila kuelewa ajenda zilizopo, na wakati mwingine mnatishwa bayana kuwa msipopiga kura kama tunavyotaka, hatutapata hiki au kile. Ndugu AMKA!!!
 
Ogopa sana jamii ya watu wenye akili kama punje ya muhindi ni ngumu sana kuamka mahali tulipo lala.

Waafrika [ sisi watu weusi ] tuna akili ndogo sana au hatuna akili kabisa ni ngumu sisi kufanya chochote cha maana katika dunia hii kwa mustakabali wa wa maendeleo ya bara letu.

: Muda mwingine unaweza kusema ni laana wewe kuzaliwa mtu mweusi [ Mwaafrika ] kutokana na ujinga mwingi tulio nao vichwani mwetu.
Sijui kwa asilimia ngapi unaamini unayoyasema. Tuseme uko sahihi, lakini fikiria yafuatayo:
1. Unatakiwa uwe na roho kama ya Iran ili angalau utoboe. Vikwazo zaidi ya miaka Ishirini, hutakiwi kufanya biashara- kuuza wala kununua unavyotengeneza. / Sadam Husein/Gadafi walishindwa leo nchi zao pengine zina utajiri kama Ulaya- Sina hakika.

2. Iran inatengeneza Silaha zake. Kajaribu kuuza hivyo VI-Drone kwa Mrusi. Eti UN inakaa kujadili awekewe vikwazo, na akina sisi tutalazimika kupiga kura ya ndio. Kumbuka wao wanauza silaha kali kila siku katika maeneo yote yenye vita- Kongo, Sudan kusini, Libya, Somalia, Mali, Syria, Yemen... List inweza kundelea mpaka kukicha..

3. Sijawahi kusikia UN imependekeza kuwekewa vikwazo vya uchumi/kuuza silaha katika nchi kuu wauzaji wa Silaha kama Ufaransa, Uingereza, Marekani n.k.

4. Kwa hiyo mwenzangu mimi amani yako ipo chini ya kuwaachia mali zako zote wachukue wao, Teknolojia wao wana hati miliki nayo, vinginevyo unaingia katika vita. Hii ndio akili iliyopo angalau kwa sasa.

Mwisho nakuhakikishia kuwa UN WILL NEVER BE THE SAME katika kipindi cha miaka kumi ijayo. Kwa sababu hapa ndipo kwenye tatizo, Organization ya Mafya imeshika mpini, na kutungiwa sheria kujeruhi na kufifisha maendeleo pale Mafya wasipopapenda. AMKA!!!!
 
Kubaguliwa waafrika, vita waafrika, njaa waafrika, magonjwa waafrika. Nani wa kulaumiwa? Wazungu. Sisi hatuna makosa. Wazungu ndo wabaya.
 
Back
Top Bottom