kwisha
JF-Expert Member
- Sep 9, 2021
- 1,793
- 5,053
Kuna baadhi ya vitu ukicheki tu unajiuliza: hivi hili lipo kweli au vipi?
Lakini ukichunguza kiundani kabisa unakuta halipo.
Naogopa kuandika mengi uku JamiiForums.
Ila nimejifunza mengi saana kuhusu hivi vita vya Urusi na Ukraine.
Kuna watu ambao hawataki wenzao kufanikiwa ili wabaki kuwa juu siku zote.
Na ukijaribu kusimama vizuri kwenye maeneo yako wanakupoteza na kukuchafulia jina.
Ukijua wewe wanajua wao ila wakijua wao wanajua wao tu.
Wanatengeneza njaa (magonjwa) kwao wana tutupia, halafu wanakuletea chakula (dawa) ili ununue wafaidike wao na uone kuwa wanajua zaidi.
Apa ndo nimeamini kuwa kumbe nyumbani kwetu sio kwamba hatunaga wababa bora ambao wanaweza kusimamia kidogo tulicho nacho.
Hili kukifanya kiwe kikubwa tunao. Ila kuna wale ambao wana vikubwa wanatamani ata kidogo chako kiwe chao ili wazidi kuwa na kikubwa zaidi wewe ukose au wakusaidia kwa kidogo walichokichukuwa nyumbani mwako.
Wakifanya wao sio kosa Ukifanya wewe ndo kosa, dunia hii. Mmmmmmmm Mungu saidia Africa tu!