Kumbe baba levo na mwijaku walirithi uchawa Kwa mababu zaoTunacho weza ni uchawa View attachment 2962889
At least 90% ya hizo drones na cruise missiles zimezuiliwa na US,UK,France na Jordan....10% ndo zimefika Israel na kati ya hizo 10% only 09% Israel ndo in mefanikiwa kuzuia uku 01% ziki hit intended targets.... Assume US,UK,France na Jordan wasingezuia unafikiri damage ingekuaje?? Apa lazima tutambue hii Vita sio ya Iran na Israel ni Iran V/s US/Israel/UK/Germany/France na wengineo....Israel anatumia vivuli vya hao tu kujilinda... Saivi CNN news PM Netanyahu anamshukuru US na allies wake kwa kuweza kuinda dhidi ya mashambulizi ya Iran....Vipi GPS Jamming hazikufua dafu dhid ya IRan maana karibia yote yalikua yanafika vizuri tuIron Dome system imefanikiwa kufanya interceptions nyingi dhidi ya missile na drones.
At least 90% ya hizo drones na cruise missiles zimezuiliwa na US,UK,France na Jordan....10% ndo zimefika Israel na kati ya hizo 10% only 09% Israel ndo in mefanikiwa kuzuia uku 01% ziki hit intended targets.... Assume US,UK,France na Jordan wasingezuia unafikiri damage ingekuaje?? Apa lazima tutambue hii Vita sio ya Iran na Israel ni Iran V/s US/Israel/UK/Germany/France na wengineo....Israel anatumia vivuli vya hao tu kujilinda... Saivi CNN news PM Netanyahu anamshukuru US na allies wake kwa kuweza kuinda dhidi ya mashambulizi ya Iran....Vipi GPS Jamming hazikufua dafu dhid ya IRan maana karibia yote yalikua yanafikaIron Dome system imefanikiwa kufanya interceptions nyingi dhidi ya missile na drones.
Naona unajipa moyo,wale machoko hawana lolote bila mabwana zao USA, France na UKHivi mamia ya makombora, mizinga na drone zingeelekezwa kwa nchi ya Kiafrika, je kuna yenye uwezo wa kudungua kama ilivyofanya Israel?
Yaani Iran imetumia nguvu zote hizo na kufanikiwa kumjeruhi binti mmoja tu, sasa hivi Israel watu wamerudia hali ya kawaida kama kwamba hamna chochote kilichotendeka.
Tusklizie upande wa pili kama Iran na wao wana uwezo wa kudungua kinachowajia.
=================
The IDF has updated that the full Iranian attack consisted of over 300 threats, of which 100 were ballistic missiles launched from Iran and another 30 cruise missiles launched from Iran, as well as drones. There were also two rounds of rockets, around 40 total, fired on Israel from Lebanon, with Israel responding with counterattacks in close to real-time.
Still, the IDF said that, to date, the defense was historically effective.
Iran attacks Israel: No drones, cruise missiles breached Israeli airspace
Seven-year-old girl from Bedouin village seriously wounded in Iranian attack. • US, Israel, UK, Jordan intercept Iranian projectileswww.jpost.com
Hizi nchi zikiungana kumpiga Iran ndani ya wiki vita itakuwa imeisha. Ili kubalance hii habari pia taja nchi ambazo zimeungana na Iran kuishambulia IsraelAt least 90% ya hizo drones na cruise missiles zimezuiliwa na US,UK,France na Jordan....10% ndo zimefika Israel na kati ya hizo 10% only 09% Israel ndo in mefanikiwa kuzuia uku 01% ziki hit intended targets.... Assume US,UK,France na Jordan wasingezuia unafikiri damage ingekuaje?? Apa lazima tutambue hii Vita sio ya Iran na Israel ni Iran V/s US/Israel/UK/Germany/France na wengineo....Israel anatumia vivuli vya hao tu kujilinda... Saivi CNN news PM Netanyahu anamshukuru US na allies wake kwa kuweza kuinda dhidi ya mashambulizi ya Iran....Vipi GPS Jamming hazikufua dafu dhid ya IRan maana karibia yote yalikua yanafika vizuri tu
Assume pia russia, north korea na china asingeipatia teknolojia iran ingefika hapo ilipo?At least 90% ya hizo drones na cruise missiles zimezuiliwa na US,UK,France na Jordan....10% ndo zimefika Israel na kati ya hizo 10% only 09% Israel ndo in mefanikiwa kuzuia uku 01% ziki hit intended targets.... Assume US,UK,France na Jordan wasingezuia unafikiri damage ingekuaje?? Apa lazima tutambue hii Vita sio ya Iran na Israel ni Iran V/s US/Israel/UK/Germany/France na wengineo....Israel anatumia vivuli vya hao tu kujilinda... Saivi CNN news PM Netanyahu anamshukuru US na allies wake kwa kuweza kuinda dhidi ya mashambulizi ya Iran....Vipi GPS Jamming hazikufua dafu dhid ya IRan maana karibia yote yalikua yanafika vizuri tu
Kweli u-gaidi...!! Ndiyo maana unashabikia Israel na Ukraine kuua raia wa kawaida na watoto.Yaani Iran imetumia nguvu zote hizo na kufanikiwa kumjeruhi binti mmoja tu,
...hawajachelewa Hata muda huu wafanye kama alivyofanya Iran kurusha makombola kutoka ndani ya aridhi yake. Israel ndiye muoga anatumia mbinu za KIGAIDI!!!unprecedented retaliation to Iran's action."
ttzo ni China na Urusi , siku China akijichanganya kwa Taiwan bas huku Iran ajipange kwa kuwaface ulaya nzimaHizi nchi zikiungana kumpiga Iran ndani ya wiki vita itakuwa imeisha. Ili kubalance hii habari pia taja nchi ambazo zimeungana na Iran kuishambulia Israel
hao Hizbollah na Houth hawaui raia ? wanapolipua meli na miji ?Hizi ni propaganda. Uwanja uliotumika kushambulia ubalozi wa Iran umeharibiwa kabisa hautumiki. Hizi ni propaganda lengo lake ni kukwepa kujibu mashambulizi.
Iran ndio nchi ya kwanza kushambulia target za kijeshi bila kuathiri wananchi.