Afrika: Rais wa zamani wa Liberia Ellen Johnson Sirleaf, ameshinda tuzo ya mwaka ya Mo Ibrahim 

Commodores

JF-Expert Member
Feb 5, 2018
289
335
Rais mstaafu wa Liberia Sirleaf Johnson ameshinda Tuzo la Mo Ibrahim.
Toka mwaka 2014 hakuna kiongozi yeyote aliyepata zawadi hii. Huyu mama ameondoka madarakani kwa kuiacha Liberia kwenye hali nzuri ya uchumi, haki za binadamu , utawala bora na demokrasia nzuri.

=======
IMG-20180212-WA0005.jpg

Rais wa zamani wa Liberia Ellen Johnson Sirleaf

Rais wa zamani wa Liberia Ellen Johnson Sirleaf ameshinda tuzo ya mwaka ya Mo Ibrahim kwa Uongozi wa Afrika - ambayo hupewa viongozi wa Afrika ambao wameonekana kuwa na utawala mzuri.

Ellen Johnson Sirleaf amekuwa mwanamke wa kwanza barani Afrika kushika nafasi ya Urais mwaka 2006 na kumaliza muda wake mwezi uliopita baada ya kuhudumu kwa mihula miwili.

Kamati ya Utendaji ya tuzo ya Mo Ibrahim imesema Ellen Johnson Sirleaf ameonesha uongozi wa kipekee katika kukabiliana na changamoto zisizowahi kutokea katika awamu zake mbili za uongozi alipokuwa Rais wa Liberia.

Wakati aliposhinda uchaguzi wa Rais nchini humo mwaka 2005, nchi hiyo ilikuwa imegawanyika kutokana na vita vya wenyewe kwa wenyewe vilivyodumu kwa miaka kadhaa na tuzo hiyo ya amani ilikuwa ni kwa ajili ya kumpongeza kusaidia kuiimarisha nchi hiyo.

Wakosoaji wake wamekuwa wakimkosoa kwa kuwa na upendeleo, kutokana na kuwachagua watoto wake katika nafasi za ngazi za juu na pia wanadai kuwa hakuchukua hatua za kutosha kupambana na rushwa.

Kamati yab utendaji ya Mo Ibrahimu imearifu kwamba inafahamu mapungufu yake, lakini imeamua kwamba anastahili kupata tuzo ya dola za kimarekani milioni 5.

Mjasiriamali Mwingereza mwenye asili ya Sudan Mo Ibrahim alianzisha tuzo hiyo mwaka 2007 kwa ajili ya kuwatunukia viongozi walionesha kazi nzuri wakati wa kipindi cha uongozi wao ndani ya bara la Afrika, amballo madikteta na watawala wadhalimu wamerudisha nyuma maendeleo ya bara hili.

Tuzo hii ambayo inapaswa kutolewa kila mwaka , kwa mara sita mfululizo ilishindwa kupata mtu, kutokana na viongozi kukosa sifa za kushinda tuzo hiyo.

Ellen Johnson Sirleaf atapata dola za Kimarekani milioni tano zitakazogawanywa kwa miaka kumi, na dola laki mbili kwa maisha yake yote.

Chanzo: BBC
 
Liberia's ex-president, Ellen Johnson Sirleaf, has won the $5m (£3.6m) Mo Ibrahim prize for African Leadership.

Mrs Sirleaf, who stepped down last month, became Africa's first elected female president in 2006.

She was praised for her work rebuilding the nation after civil war and leading a process of reconciliation.

The prize committee admitted that while Ms Sirleaf was accused of tolerating corruption, she had shown exceptional leadership in difficult circumstances.

It added that Liberia was the only country out of 54 to improve in every category and sub-category of the Ibrahim Index of African Governance.

Mrs Sirleaf served two terms as president, but could not run again in recent polls, which were won by former footballer George Weah.

Her own party has expelled her, alleging she had campaigned for Mr Weah rather than her party's candidate.

The legacy of Africa's first elected female president

She is the fifth recipient of the prize since 2007, which celebrates African leaders who governed well, raised living standards and then left office.

The $5m prize is spread over 10 years and is followed by $200,000 a year for life.

But it is not always awarded. On six occasions, no leader was considered worthy of it.

Mo Ibrahim prize timeline:
  • 2007: Mozambique's former President Joaquim Chissano
  • 2008: Botswana's former President Festus Mogae
  • 2009: No award given
  • 2010: No award given
  • 2011: Cape Verde's former President Pedro Verona Pires
  • 2012: No award given
  • 2013: No award given
  • 2014: Namibia's former President Hifikipunye Pohamba
  • 2015: No award given
  • 2016: No award given
 
Rais mstaafu wa Liberia Sirleaf Johnson ameshinda Tuzo la Mo Ibrahim.
Toka mwaka 2014 hakuna kiongozi yeyote aliyepata zawadi hii. Huyu mama ameondoka madarakani kwa kuiacha Liberia kwenye hali nzuri ya uchumi, haki za binadamu , utawala bora na demokrasia nzuri.

=======
View attachment 694259
Rais wa zamani wa Liberia Ellen Johnson Sirleaf

Rais wa zamani wa Liberia Ellen Johnson Sirleaf ameshinda tuzo ya mwaka ya Mo Ibrahim kwa Uongozi wa Afrika - ambayo hupewa viongozi wa Afrika ambao wameonekana kuwa na utawala mzuri.

Ellen Johnson Sirleaf amekuwa mwanamke wa kwanza barani Afrika kushika nafasi ya Urais mwaka 2006 na kumaliza muda wake mwezi uliopita baada ya kuhudumu kwa mihula miwili.

Kamati ya Utendaji ya tuzo ya Mo Ibrahim imesema Ellen Johnson Sirleaf ameonesha uongozi wa kipekee katika kukabiliana na changamoto zisizowahi kutokea katika awamu zake mbili za uongozi alipokuwa Rais wa Liberia.

Wakati aliposhinda uchaguzi wa Rais nchini humo mwaka 2005, nchi hiyo ilikuwa imegawanyika kutokana na vita vya wenyewe kwa wenyewe vilivyodumu kwa miaka kadhaa na tuzo hiyo ya amani ilikuwa ni kwa ajili ya kumpongeza kusaidia kuiimarisha nchi hiyo.

Wakosoaji wake wamekuwa wakimkosoa kwa kuwa na upendeleo, kutokana na kuwachagua watoto wake katika nafasi za ngazi za juu na pia wanadai kuwa hakuchukua hatua za kutosha kupambana na rushwa.

Kamati yab utendaji ya Mo Ibrahimu imearifu kwamba inafahamu mapungufu yake, lakini imeamua kwamba anastahili kupata tuzo ya dola za kimarekani milioni 5.

Mjasiriamali Mwingereza mwenye asili ya Sudan Mo Ibrahim alianzisha tuzo hiyo mwaka 2007 kwa ajili ya kuwatunukia viongozi walionesha kazi nzuri wakati wa kipindi cha uongozi wao ndani ya bara la Afrika, amballo madikteta na watawala wadhalimu wamerudisha nyuma maendeleo ya bara hili.

Tuzo hii ambayo inapaswa kutolewa kila mwaka , kwa mara sita mfululizo ilishindwa kupata mtu, kutokana na viongozi kukosa sifa za kushinda tuzo hiyo.

Ellen Johnson Sirleaf atapata dola za Kimarekani milioni tano zitakazogawanywa kwa miaka kumi, na dola laki mbili kwa maisha yake yote.

Chanzo: BBC

Amewapa akina Mama Heshima kubwa.Unaweza kuwa na dosari kama Binadamu lakini dosari hizi zikiendana na Busara na Hekima haziwezi kuleta athari kubwa za kunyanyasa binadamu wenzako.

Mama huyu ameonyesha wazi akina Mama tunaweza tukipewa nafasi.
 
Anastahili. Ile tu kwamba ameweza kuachia madaraka kidemokrasia na hasa kuruhusu chama chake "kushindwa" inatosha. Hii ni kinyume kabisa namwenendo wa viongozi wa Afrika ikiwemo vyama vilivyoko madarakani. Ameweka msingi mzuri kwa Liberia - ambao ni changamoto kwa Rais wa sasa kuuendeleza.
 
Umenikumbusha ya visiwani miaka nenda rudi; vigumu sana kwa viongozi wa hapa kushinda hiyo tuzo kutokana na michezo ya kitoto ya chama kule visiwani tangu uchaguzi wa kwanza wa kidemokrasia hadi leo.
 
RAIS wa zamani wa Liberia Ellen Johnson Sirleaf ameshinda tuzo ya mwaka ya Mo Ibrahim kwa Uongozi wa Afrika, ambayo hutolewa kwa viongozi wa Afrika ambao wameonekana kuwa na utawala bora.

Ellen Johnson Sirleaf amekuwa mwanamke wa kwanza barani Afrika kushika nafasi ya Urais mwaka 2006 na kumaliza muda wake mwezi uliopita baada ya kuhudumu kwa mihula miwili.

Kamati ya Utendaji ya Tuzo ya Mo Ibrahim imesema, Ellen Johnson Sirleaf ameonesha uongozi wa kipekee katika kukabiliana na changamoto zisizowahi kutokea katika awamu zake mbili za uongozi alipokuwa Rais wa Liberia.

Wakati aliposhinda uchaguzi wa Rais nchini humo mwaka 2006, nchi hiyo ilikuwa imegawanyika kutokana na vita vya wenyewe kwa wenyewe vilivyodumu kwa miaka kadhaa na tuzo hiyo ya amani ilikuwa ni kwa ajili ya kumpongeza kusaidia kuiimarisha nchi hiyo.

Wakosoaji wake wamekuwa wakimkosoa kwa kuwa na upendeleo, kutokana na kuwachagua watoto wake katika nafasi za ngazi za juu na pia wanadai kuwa hakuchukua hatua za kutosha kupambana na rushwa.

Bilionea, Mohammed Ibrahim ‘Mo’.

Kamati ya utendaji ya Mo Ibrahimu imearifu kwamba inafahamu mapungufu yake, lakini imeamua kwamba anastahili kupata tuzo ya dola za Kimarekani milioni 5.

Mjasiriamali Mwingereza mwenye asili ya Sudan, Mo Ibrahim alianzisha tuzo hiyo mwaka 2007 kwa ajili ya kuwatunukia viongozi walionesha kazi nzuri wakati wa kipindi cha uongozi wao ndani ya bara la Afrika, amballo madikteta na watawala wadhalimu wamerudisha nyuma maendeleo ya bara hili.
Tuzo hii ambayo inapaswa kutolewa kila mwaka , kwa mara sita mfululizo ilishindwa kupata mtu, kutokana na viongozi kukosa sifa za kushinda tuzo hiyo.

Ellen Johnson Sirleaf atapata dola za Kimarekani milioni tano zitakazogawanywa kwa miaka kumi, na dola laki mbili kwa maisha yake yote.
 
Man of Parts, charismatic.

Uongozi wa kweli si Ofisi. Ni karama. Siyo ubabe ni kujishusha. Siyo vitisho. Ni unyenyekevu.

Huku Tanzania hali ni tofauti. Ni ubabe, vitisho, uzandiki, ufisadi, ufisidi, ulevi wa aina zote n.k. Huwezi kupewa Tuzo. Labda tuzo za KTMA.

Hongera Mama, Sirleaf Ellen.
 
Back
Top Bottom