Afrika na kilemba cha ujinga

Dah inasikitisha sana,yule mbongo anapigwa kama mwizi flan hivi
 

View: https://twitter.com/PulseNigeria247/status/2047602050410721430?t=AQ37uRGBaaRC-15TpRcJiw&s=19
 

View: https://twitter.com/OzorNdiOzor/status/2047747336005193928?t=OxtaksuIqvCIpLVseE6PJw&s=19
 
Hawa wazungu wanachofanya naamini Mandela angeyaona haya agejilaumu kwanini aliwasamehe hawa wapuuzi
 
Ila Mzee baba nakushauri uache uchawa mama hakubaliki kabisa huo moyo wa kumtetea unaupata wapi?
Post au mjadala niliyoweka hapa sasa hivi haihusiani na mkuu wa nchi, wala sijazungumzia uchawa wala kumzungumzia mtu, wala kumdhihaki yeyote. Wewe umetoka huko uliko toka unanena yako yaliyo moyoni.

Nikisema wewe ndiye Chawa maarufu (Chawa Promax) wa hao upande wa pili nitakuwa nakosea? Ambapo pengine wamekuahidi kwa kila siku ukiingia kwenye mijadala ukazungumzia uchawa au kumdhihaki kiongozi wa nchi basi unalipwa nitakuwa nakosea?

Anyway, sikukatazi kuwa Chawa, endelea na uchawa ila zingatia wakati mwingine mada inakuwa inahusika na reply unayoiweka?

Weekend njema mkuu.πŸ™πŸ™πŸ™
 
Humu wengi wananifahamu kuwa Sina chama huwa natanguliza maslahi mbele ya Taifa wewe angalia kupitia post zangu nilizowahi kupost Kuna wakati nasifia CCM na vile vile wakifanya vibaya nawaponda na hiyo hiko pia kwa Chadema. In short kwenye nyeusi naweka nyeusi na nyeupe ni nyeupe. Wewe umenishangaza kuunga mkono Tume sikatai binadamu tumetofautiana kwenye fikra lakini hoja ulioijenga kutetea hiyo Tume ndio imenifanya nikuone wewe ni chawa
 

Sawa mkuu. Nimekuelewa, ila mimi sio Chawa, penye ukweli nasema ukweli, pasipo kuangalia wangapi wataunga au kutounga mkono. Hilo ndio nadhani limekuwa tatizo la wengi pale mnapotofautiana kimtazamo na mwingine hususan katika kipindi kama hiki.

Lakini wote tunabaki kuwa watanzania tu. Siwezi kukubeza, au kukudhihaki kama unakuwa na mtazamo tofauti na mimi.
 
Wapo wengine ambao wanaoendeshwa na ushabiki na hao utawajua tu huwa hawajibu hoja badala yake nikutukana tu
 
Udhaifu halisi wa fikra ni kubaki Shinyanga ukilima shamba lile lile kwa miaka 20 huku ukitegemea matokeo tofauti.

Anayekwenda Dar au ughaibuni hajajidanganya kuwa kuna maisha rahisi, bali ameamua kupambana kwenye uwanja wenye fursa nyingi zaidi.

Jua kutofautisha mwoga wa maisha na mtu jasiri aliye tayari kutaabika kwenye mazingira yoyote yenye fursa.
 
Mkuu, 'Alloyce PR'; umeniwekea hiyo video ukifikiri itanisaidia kitu gani mimi; kwamba iniguse na kupoteza fahamu kama unavyofanya wewe?

Kama ulikuwa hujui, nataka utambue kwamba nilishavuka ngazi hii ya upumbavu siku nyingi sana.

Ni hivi: hao wanaomshambulia huyo mtu (mtanzania), wana tofauti gani na hawa; pengine na wewe ukiwemo, kutokana na aina ya mabandiko unayojaza humu?
Hukuona marundo ya maiti ya vijana wa kiTanzania miezi michache tu hapa iliyopita?
Wewe unadhani hao waliowaua vijana wetu hapa, nao wametoka huko Afrika Kusini?
Ni nani aliyewahimiza hawa wauaji; kwa maana hatuna wazungu hapa, au ni waarabu (koko) badala ya wazungu ndio wanaotufanyizia hivyo?

Sasa silikiza, unapokuwa na akili finyu ya kutojuwa chanzo cha hali kama hiyo unayotaka kutuaaminishia wewe, usifikiri hatuna akili kama wewe.
 

It's amazing that you still don't get it!
What you're showing me here does not sway my basic belief that you have no capacity to understand the issues involved.
You're simply whipping up emotions in an effort to support your erroneous understanding of the South African situation.

These gangs have no place in enforcing the law in any organized society. You need to direct your grievances to the place it belongs.
 
Jiwe alikuwa na timu smart sana ya mtandaoni, nyie timu ya mama mnamuangusha mama yenu, mnapwaya sana katika propaganda na kufanya mashambulizi.
Jiwe alipendwa na Watanzania, wengi walikuwa wanaandika mawazo yao wenyewe.
Samuya hapendwi, kwa hiyo inahitaji creativity kubwa kumpamba mitandaoni kitu ambacho wengi wanafeli
 
Jiwe alipendwa na Watanzania, wengi walikuwa wanaandika mawazo yao wenyewe.
Samuya hapendwi, kwa hiyo inahitaji creativity kubwa kumpamba mitandaoni kitu ambacho wengi wanafeli
Angekuwa anapendwa na Watanzania wengi asingepora uchaguzi wa 2020.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…