real toxic
JF-Expert Member
- Apr 13, 2014
- 533
- 104
KATIKA HISTORIA YA MISRI, waliamini kuwa kuna maisha baada ya kifo, hivyo miili ya watu walikuwa wakifariki, walikuwa wakivalishwa na kufunikwa kwa vitu vilivyoundwa kwa dhahabu, zilizojulikana kama MUMMY. Lakini viungo laini vya binadamu kama moyo, figo na utumbo ulitolewa na kuhifadhiwa katika vitngu iliyojulikana kwa jina la kitaalamu,CANOPIC JAR. Na hivyo mwili kabla ya kuzikwa , wamisri waliaandaa nyumba ambayo ilikuwa na kila kitu cha Dhahabu kwa ajili ya maisha ya mtu baada ya kufa. Kwa namana hiyo ili binadamu huyu aweze kuishi miaka mwing bila kuoza ilibidi wampake chumvi nyingi sana. Ndiyo maana wanasayansi waliweza kupata miili yote ya mafarao wa Misri bila kuoza, kwa mfano mwili wa Pharaoh Tutankhamen uliopatikana mwaka 1905-1925. Kwa namna hiyo waafrika tulikuwa na mitindo yetu ya maisha ya kila kama ilivyokuwa huko Ulaya na Amerika kabla ya kuingia hapa barani Afrika.